Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Point moja si haba lakini. Hii timu yetu ilikuwa imechoka sana kutokana na game ya CL. Wenger inabidi awe anafanya rotation mara kwa mara..tunahitaji kumuona chamberlain na Park na hata benayoun kwenye startin line up
 
Katika kila timu lazima awepo mtu anayeibeba kwa kufunga ama kutoa pasi za maana. Tunapomsifia Van Persie ni haki yetu Gunners sasa wengine wanabonga kiiivyooo. Wafunge midomo bana na sisi mashabiki tunamwombea asiumie ili mwisho wa msimu awe ametimiza ndoto zke na ajulikane kuwa ni mkareeee. Misimu yaliyopita RVP alikuwa akifikisha mechi 10 bila kuumia na kukaa nje msimu mzima ulikuwa bahati. Go Gunners
 
mwanangu leo kimenuka tumetoa sare na fulham,labda uchovu wa uefa champions
 
Ni aje wajumbe Carling cup hiyo washika bunduki leo wapo uwanjani VS Man city

Line Up
Arsenal: Fabianski, Djourou, Squillaci, Koscielny, Miquel, Frimpong, Coquelin, Benayoun, Oxlade-Chamberlain, Park, Chamakh. Subs: Mannone, Yennaris, Vermaelen, Eastmond, Ozyakup, Gervinho, Arshavin. Subs: Mannone, Yennaris, Vermaelen, Eastmond, Ozyakup, Gervinho, Arshavin.

Man City: Pantilimon, Onuoha, K Toure, Savic, Zabaleta, De Jong, Hargreaves, Johnson, Nasri, Kolarov, Dzeko

Good luck the gunners
 
What a play was that??? So nice!! Cant call it a miss though!!!!
 
Ni aje wajumbe Carling cup hiyo washika bunduki leo wapo uwanjani VS Man city

Line Up
Arsenal: Fabianski, Djourou, Squillaci, Koscielny, Miquel, Frimpong, Coquelin, Benayoun, Oxlade-Chamberlain, Park, Chamakh. Subs: Mannone, Yennaris, Vermaelen, Eastmond, Ozyakup, Gervinho, Arshavin. Subs: Mannone, Yennaris, Vermaelen, Eastmond, Ozyakup, Gervinho, Arshavin.

Man City: Pantilimon, Onuoha, K Toure, Savic, Zabaleta, De Jong, Hargreaves, Johnson, Nasri, Kolarov, Dzeko

Good luck the gunners

shwari kijana
 
12' Park Ju sung kakosa goli na ni kipa kafanya kazi nuri ya kuokoa. Ilikuwa bonge na move
 
Back
Top Bottom