Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,701
- 13,671
Sawa sawia.
Sawa sawia.
Eze na Olise ni wachezaji ambao nilikua nashangaa kwanini hawatoki pale Palace.Kuna kauwezekano ka kumchukua Eze wa Crystal Palace aje kumkalisha bench Ode.
Akija Eze, nafikiri hatutatafuta winga tena bali tutajikita kwenye kutafuta striker na kufunga mahesabu hapo.
Uko sahihi.HENRY14
Wakati Zubimendi anafuatwa kwa mara ya kwanza ilikua ni kwavile profile yake ni kama ya Busquet.
Na Busquet profile yake ni kama ya Partey.
Notice kwamba tulianza kumfuata Zubimendi baada ya Partey kua majeruhi na hichi kipindi Jorginho alikuepo. Jaribio letu la kwanza kumreplace Partey lilikua kumsajili Rice.
Rice failed kwenye hiyo role. Ikabidi apelekwe upande wa kulia, ambako attempt yetu ya kumreplace Xhaka ilikua Vieira.
Hii scenario nzima ndiyo inafanya wengi tuseme Zubimendi kaja kwaajili ya Partey na Norgaard kaja kwaajili ya Jorginho. Partey alikua starter, Zubimendi atakua starter.
Jorginho alikua rotational, Norgaard atakua rotational.
Kuna wage bill itakua saved? Yes hii ni kweli kabisa. Ila mfano Zubimendi akachukua muda kuclik tutavumilia?
Eze amewahi kusema alikuwa mtu wa kulia sana alipoondoka academy.Eze na Olise ni wachezaji ambao nilikua nashangaa kwanini hawatoki pale Palace.
Bayern kajichukulia Olise. Spurs inamtaka Eze inasemekana Arsenal tuna interest. Eze anaweza kwenda Spurs zaidi kama akihakikishiwa game time kitu ninachofikiri kwa Arsenal itabidi apambane kwanza
Hapa ndiyo ArtetaOut zitaanza upya. Madrid wamemuachia Luka msimu huu tu baada ya Xabi kuomba CM akajibiwa wapo wengi kwanza kuna mpango wa kuwapunguza.Hapa ndio ilikuwa msingi wa hoja yangu kwamba usajili wa zubimendi utalipa kwa wakati au mtasubiri phase nyingine?
Partey alitakiwa abakishwe ili mmalizie palipobaki na sio kuanza upya.
Dah unaisemea Liver ambayo tangu Klopp afike alifanya scorer wawe wings kuliko ST.Tatizo kubwa la Arsenal kwasasa ni Arteta kuliko hata hao wachezaji.
Man city na Liverpool misimu hii mi3 iliyopita wamebeba kombe sio kwasababu walikuwa na wachezaji bora zaidi ya wale wa Arsenal ila tu walikuwa na makocha wajanja zaidi ya yule Arteta.
Wakati wale vipara wanacheza kila mechi ya ligi kama final na hawafanyi majaribio.Kwa Arteta ni tofauti yeye anatumia mechi za ligi kujaribu mifumo na wachezaji.
Naamini hata sasa hivi Arteta hajui ni sehemu gani inayomkwamisha.Liverpool wamebeba kombe hawana hata striker wa maana.PSG kabeba Uefa champions league bila striker wa maana.
Mafanikio ya Club inabebwa na makombe na si kumaliza nafasi za juu. Unamaliza nafasi za juu huna kitu huo nao ni ufalaa tu. 🤣🤣🤣🤣Hongera mkuu. Ndiyo hivyo na sisi tunapambana. Naelewa ukiniambia UCL na kwa mbali Europa hata sisi tumejaribu ila bahati bado haijawa kwetu. Ila hiyo Conference aisee wala usipoteze muda kuniambia eti mmebeba. Hilo sisi hatuwezi kulibeba kwa sababu hata kushiriki kwake hatujawahi na hatuwezi kisa tu huwa tunamaliza nafasi za juu sana kwenye ligi.
Jitahidi usome hoja zangu zote kwa makini utanielewa kiongozi.Dah unaisemea Liver ambayo tangu Klopp afike alifanya scorer wawe wings kuliko ST.
So hata ST asiposcore we know wings ndiyo wenye kazi. Na wanadeliver.
Iangalie PSG halafu niambie haina forwards za maana. Inter kafa tano na Arsenal tulisema tukikutana na Inter atabana mno atatusumbua hatuna ST
Ukweli mchungu huu.Jitahidi usome hoja zangu zote kwa makini utanielewa kiongozi.
Narudia tena tatizo kubwa la Arsenal ni Arteta kuliko hata wachezaji wenyewe.
Hv kocha mwenye akili timamu anaweza kumchukua sterling aje aisaidie timu,Yule Merino hauhitaji degree kujua kuwa hawezi kucheza namba8 wala6 kwa timu yenye akili timamu.
Ni heri last season angembeba hata Rashford kwa mkopo angalau ningeona anajaribu kitu ila sio sterling.
Klopp kuitengeneza timu ni jambo moja na kocha mpya kuiendeleza ni jambo lingine.Naamini Arteta angepewa ile Liverpool ya last season asingebeba kombe hata moja.
Tatizo kubwa la Arteta ni ujuaji yule jamaa ni mjuaji sana.Ukitaka kujua hilo kaangalie zile game alizopoteza points kizembe katika hii misimu mi3 iliyopita.
Mfano kuna game against villa anakuwekea Kai na Ode katikati chini akiwa Rice na huo upumbavu aliufanya against Bayern timu likatolewa.
Anajaribia ujinga wake kwenye ligi ya Epl kwa akili zile hata akikaa Arsenal miaka 20 bila kubadilika hawezi kubeba kitu.
Tatizo lingine kubwa ni wale mashabiki wa Arsenal wanaosifia ujinga wa mifumo sijui na chenga.Ukweli mchungu huu.
Eze amewahi kusema alikuwa mtu wa kulia sana alipoondoka academy.
Huyu simu Moja TU ikipigwa hachomoi. Arsenal damu kabisa huyo
Transfer ya Sterling ilikua ya kipuuzi.Jitahidi usome hoja zangu zote kwa makini utanielewa kiongozi.
Narudia tena tatizo kubwa la Arsenal ni Arteta kuliko hata wachezaji wenyewe.
Hv kocha mwenye akili timamu anaweza kumchukua sterling aje aisaidie timu,Yule Merino hauhitaji degree kujua kuwa hawezi kucheza namba8 wala6 kwa timu yenye akili timamu.
Ni heri last season angembeba hata Rashford kwa mkopo angalau ningeona anajaribu kitu ila sio sterling.
Klopp kuitengeneza timu ni jambo moja na kocha mpya kuiendeleza ni jambo lingine.Naamini Arteta angepewa ile Liverpool ya last season asingebeba kombe hata moja.
Tatizo kubwa la Arteta ni ujuaji yule jamaa ni mjuaji sana.Ukitaka kujua hilo kaangalie zile game alizopoteza points kizembe katika hii misimu mi3 iliyopita.
Mfano kuna game against villa anakuwekea Kai na Ode katikati chini akiwa Rice na huo upumbavu aliufanya against Bayern timu likatolewa.
Anajaribia ujinga wake kwenye ligi ya Epl kwa akili zile hata akikaa Arsenal miaka 20 bila kubadilika hawezi kubeba kitu.
Akili ya Arteta anawaza mabeki tu,ukiona akili za namna hii kwenye soka la sasa hivi basi ujue umeliwa.Transfer ya Sterling ilikua ya kipuuzi.
Merino ni jaribio la kupata mbadala wa Xhaka, tulishafeli kwa Vieira so karata ikamuangukia Merino.
Akafeli imebidi awe Rice. Ingawa binafsi nafikiri Merino kumuwazia atacope fast ni sahihi.
Ukiachilia Arteta na makosa yake timu yetu mentally haiko consistent.
Mess up zinatokea, shida inakuja jinsi gani Kocha anarespond.Akili ya Arteta anawaza mabeki tu,ukiona akili za namna hii kwenye soka la sasa hivi basi ujue umeliwa.
Unakosea kwa Vieira unarudia kwa Merino hapo inakuaje bahati mbaya.
Upande wa Martinel ni mafi matupu ule upande.Ningemuona Arteta ni kocha kama angeacha mbuzi 1 kati ya zile mbili haswaa Trossard aongeze winger ya maana halafu akabakisha Partey ili amalizie mwendo.
Soka la sasa timu nyng bora huwa zna wachezaji wachache wa maana wakuwatumia ili kupunguza gharama lakini pia kuwapa wachezaji wengi game time ili watumike pale penyr umuhimu.
Kweli kabsa kocha mwenye akili timamu anawaza Sterling yaani hilo tu lilifaa kutimuliwa maana alionesha ni mdumavu wa akili.
Yaani ni upuusi + mafi ya bata.Mess up zinatokea, shida inakuja jinsi gani Kocha anarespond.
Mfano, Pep akamess up kwa Grealish, akamleta Doku kwaajili ya hiyo namba, akafeli, akamleta Savinho, akafeli. Mwisho amemleta Marmoush.
Mfano, mwingine. Liverpool alimchukua Szobozslai kwa 70M amefeli kufikia matarajio imebidi amchukue Wirtz kwa 170M.
Kwa timu yetu tukifeli hua tunajivuta kurekebisha makosa. Mbona wengi humu tulisema tunahitaji backup ya Saka na ST misimu miwili nyuma lakini kocha hana habari. Anamleta Kai.
Inafika January anakwambia lazima tusajili ST mnapita wima. Dirisha linafunguliwa yeye na jamaa mpya wameganda kwenye swala la ST na RW na backup ya Saka.
Badala yake unasikia Kepa, Norgaard.