Hamna kocha pale.Mess up zinatokea, shida inakuja jinsi gani Kocha anarespond.
Mfano, Pep akamess up kwa Grealish, akamleta Doku kwaajili ya hiyo namba, akafeli, akamleta Savinho, akafeli. Mwisho amemleta Marmoush.
Mfano, mwingine. Liverpool alimchukua Szobozslai kwa 70M amefeli kufikia matarajio imebidi amchukue Wirtz kwa 170M.
Kwa timu yetu tukifeli hua tunajivuta kurekebisha makosa. Mbona wengi humu tulisema tunahitaji backup ya Saka na ST misimu miwili nyuma lakini kocha hana habari. Anamleta Kai.
Inafika January anakwambia lazima tusajili ST mnapita wima. Dirisha linafunguliwa yeye na jamaa mpya wameganda kwenye swala la ST na RW na backup ya Saka.
Badala yake unasikia Kepa, Norgaard.
Usiweke matarajio makubwa kwa yule kocha utajiumiza.
Nyumbu wanaweza kuwahi kujipata kabla yetu.
Tottenham anapata kombe sisi tumetoa macho tu.