HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,676
- 7,135
Maslahi tu mkuu.Tumemaliza vita ya Iran v Israel sasa tunarudi kuburudisha vichwa na football kidogo.
Nilikuwa na mwanangu Castr na hata masingeli alikuwepo tena upande wa Israel na bado kapoteza na kule pia.
Vipi gunners, naona mbadala wa Octopus ni Norgaard. Je, hiyo hiyo ni like to like replacement au upgrade ya Partey?
Au ni issue ya maslahi ndio imefanya mmehamishia akili wa Nogaard?
Huyu huyu Partey ambaye mliona kama turufu ya kuifunga PSG kwenye mechi ya marudiano ndio leo mnamtupa kifala hivyo?
Partey angekubali mkataba mfupi na kutoongezewa mshahara nafikiri tusingemchukua Norgaard.
Hata hivyo, huenda tukawa tumefanya jambo jema kumuachia Partey aondoke, kwa sababu tu ya kukaa kwake nje mara nyingi na majeraha.