[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Labyrinth huyo kama kawa [emoji3][emoji3][emoji3]. Hata wewe utakuwa umemuelewa
Castr huenda anamaanisha pesa zilizotumiwa kwa Darwin ukiziangalia na mchango wake kwenye timu ndani ya huo muda, inaonekana Liverpool walipigwa.
Je, ukitumia timu yako ya Newcastle mijusi milia, mna Isak wa 80m, wao Livakuku wana Darwin wa 100m. Newcastle ina Carabao, Liverpool ina Premier League.
Utasema Darwin aliyechangia kidogo mafanikio ya Liverpool ni muhimu kuliko Isak aliyechangia sana mafanikio ya Newcastle?