Mlevi huyo kalewa visungura.Huyu jamaa kaandika yupo level moja na Madrid au ni screen ya simu yangu tu ndio inaniletea dark comedy?
Mlevi huyo kalewa visungura.Huyu jamaa kaandika yupo level moja na Madrid au ni screen ya simu yangu tu ndio inaniletea dark comedy?
Hajadanganya. Ameongea ukweli mtupu. Hii ndiyo Arsenal ya sasa 😀Huyu jamaa kaandika yupo level moja na Madrid au ni screen ya simu yangu tu ndio inaniletea dark comedy?
Points 7 za uhakika🚨 BREAKING:
Manchester United will play against Arsenal, Manchester City and Chelsea in the first 5 Match Days of the new Premier League season.
[@SamC_reports]
Naona jinsi arteta out zitavyowai msimu huu.
Nawaonea huruma mnakutana na United iliyodhamiria kuinuka toka matopeni msimu ujao.
Wewe humu siyo mgeni.Nawaonea huruma mnakutana na United iliyodhamiria kuinuka toka matopeni msimu ujao.
Phase 6 uhakika kwa Arteta
Wameamua kutupa mechi laini laini ili vijana wetu wapashe kidogo baada ya mapumziko.
😂😂😂😂 ndio mana napenda kuingia kwenye hili jukwaa, mnaongeza maisha yangu. Ningecheka saa ngapi sasa?!!😂😂Wameamua kutupa mechi laini laini ili vijana wetu wapashe kidogo baada ya mapumziko.