Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu Kepa anatokea Chelsea ila ni kutoka Bournemouth siyo Chelsea moja kwa moja hivyo tuwe na matumaini naye kidogo kuliko kama ilivyokuwa kwa Gallas, Willian, David Luiz na Sterling.

Huyu Kepa anatokea Chelsea ila ni kutoka Bournemouth siyo Chelsea moja kwa moja hivyo tuwe na matumaini naye kidogo kuliko kama ilivyokuwa kwa Gallas, Willian, David Luiz na Sterling.
Kai na Cech.
 
Kai na Cech.
Sera ya Arsenyau miaka yote ni kubana matumizi, sajili zenu mara nyingi hua ni kuokoteza okoteza flops ambazo ni rejected, tena mnakusanyiwa na kuuziwa kwa mafungu mafungu.
Ni msimu ulioisha pekee ndio maboss wenu alijitutumua kwelikweli na kuvunja rekodi ya Arsenyo na kuishangaza dunia kwa kutoa £100m kwa ajili ya usajili wa Rice.
Hili dili la Zubimende ilitakiwa mlikamilishe mapema kabla hata ya dirisha kufungwa, maana mchezaji mwenyewe ana nia ya kucheza Arsenyo na kulikua hamna competition kwa timu nyingine yoyote kuonesha nia ya kumuhitaji, ila mmejizungusha mpaka dirisha limefungwa kupisha michuano ya Club World Cup, Nina uhakika dirisha likifunguliwa baada ya CWC na ikitokea timu yoyote kubwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kumtaka Zubimende hamtampata.
 
#TBT Castr zubeda anawasumbua 😁
IMG_20250612_120911_468.jpg
 
Siyo huyo tu.

Ghafla juzi unaambiwa Arsenal ipo tayari kususia mazungumzo na Sesko.

Liver kulipa ile 150M imefanya timu zingine zione zinaweza kuexploit zaidi.

Nyinyi ndiyo kazi mnayo
Hapa tulisema tuanze kuongea na Gyokeres ili kina Sesko walegeze kamba. Ila sasa Chelsea nao wamemjia Gyokeres hivyo hali itazidi kuwa ngumu.
 
Stats za Pepe ni za juu kuliko signings za mtu kama Grealish ambaye alinunuliwa kwa 100M

Sina uhakika na usajili wenu wa 100M, Nunez, kama kamzidi Pepe kitakwimu
Bora uliposema huna uhakika.
Nakuibia siri Nunez tayari anataji la ligi huko. sasa stats za mchezaji mmoja mmoja wa City ni za kawaida ukikompare na Saka ila SAKA ana nini na akina Glealish na Doku wana nini?
 
Bora uliposema huna uhakika.
Nakuibia siri Nunez tayari anataji la ligi huko. sasa stats za mchezaji mmoja mmoja wa City ni za kawaida ukikompare na Saka ila SAKA ana nini na akina Glealish na Doku wana nini?
I swear sijakuelewa
 
Liverkuku si unawajua wao wahuni tu. Wao wameshachukua ubingwa na sasa wanataka kuhakikisha wanaushikilia kwa mbinu mbovu za kuharibu soko.
Liverpool tumefanya BIG SIGNING moja tu tayari STATEMENT imeshawafikia mmeona tupo serious sana. Acheni kulia lia fanyeni signing ambazo zitawapeleka Next Level in a second, Signing za mafungu mafungu mnazofanya za akina Kepa haziwezi kuwapa uwezo wa kushindana na sisi......... Kenge nyie.
 
Back
Top Bottom