Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Martin Zubimendi to Arsenal was almost done but a call from Real Madrid has now changed EVERYTHING.

The situation is now open !!!!!

Mara chache sana Madrid wanabisha hodi na ukagoma mifano ipo michache kama kina Stevie G, Giggs, Scholes na F. Totti
 
Usajili wa Chaaba umekamilika mpo vizuri
1749487178821.jpg
 
Chelsea - Neto 🇵🇹
Man Utd - Bruno 🇵🇹
Man City - B. Silva 🇵🇹
Liverpool - Jota 🇵🇹
Arsenal - Nobody

Even on the international stage they go trophy-less 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮
Hawa watoto wa kiwigi wana nux, ndio mana hata Tuchel england ameamua awaweke wachezaji wa Arsenal bench, Saka na mchele wanasugulishwa tu banchi.
 
Martin Zubimendi to Arsenal was almost done but a call from Real Madrid has now changed EVERYTHING.

The situation is now open !!!!!

Mara chache sana Madrid wanabisha hodi na ukagoma mifano ipo michache kama kina Stevie G, Giggs, Scholes na F. Totti
Nadhani huyu tunaye tayari. July tutamuona Emirates. Isipotokea nitashangaa kidogo.
 
Martin Zubimendi to Arsenal was almost done but a call from Real Madrid has now changed EVERYTHING.

The situation is now open !!!!!

Mara chache sana Madrid wanabisha hodi na ukagoma mifano ipo michache kama kina Stevie G, Giggs, Scholes na F. Totti
Aser8 vs Madrid hapo mchezaji anachagua upinde vs Makombe
 
Zubimendi deal to Arsenal looks highly likely, because Real Sociedad are not willing to sell to RM
Kwa sasa hatuna presha. Bado nafikiri hili dili lilishakaa sawa muda kidogo sasa ila kuna mambo ya kifedha ya kuweka vitabu sawa yanahitajika. Zubi anatutaka mwenyewe, Sociedad wanataka aje kwetu, mambo ni mazuri ila kuna maneno maneno ya kichokozi tu ya wanahabari wanaotafuta attention ndiyo yanaxunguka mitandaoni.
 
Huyu Kepa anatokea Chelsea ila ni kutoka Bournemouth siyo Chelsea moja kwa moja hivyo tuwe na matumaini naye kidogo kuliko kama ilivyokuwa kwa Gallas, Willian, David Luiz na Sterling.
 
Kai na Cech.
 
Kai na Cech.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sera ya Arsenyau miaka yote ni kubana matumizi, sajili zenu mara nyingi hua ni kuokoteza okoteza flops ambazo ni rejected, tena mnakusanyiwa na kuuziwa kwa mafungu mafungu.
Ni msimu ulioisha pekee ndio maboss wenu alijitutumua kwelikweli na kuvunja rekodi ya Arsenyo na kuishangaza dunia kwa kutoa £100m kwa ajili ya usajili wa Rice.
Hili dili la Zubimende ilitakiwa mlikamilishe mapema kabla hata ya dirisha kufungwa, maana mchezaji mwenyewe ana nia ya kucheza Arsenyo na kulikua hamna competition kwa timu nyingine yoyote kuonesha nia ya kumuhitaji, ila mmejizungusha mpaka dirisha limefungwa kupisha michuano ya Club World Cup, Nina uhakika dirisha likifunguliwa baada ya CWC na ikitokea timu yoyote kubwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kumtaka Zubimende hamtampata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom