John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Kepa to yatima fc here we go...tuongezeeni hela kidogo huyo mashine ya kazi anadaka mpaka mapepo
Huyu huyu Arteta tutamtumia kuwapatia wakati mgumu enyi manyumbu na kenge wote mtakaothubutu kuingiza timu uwanjani sisi tukiwepo. Baada ya miaka mitatu hivi tunawaletea mtesi mwingine.Timueni kwanza Tetea Kiwigi ndio muanze kufikiria habari za makombe.
Hauwezi kua na mid table coach halafu utegemee kubeba makombe makubwa, labda kama wenyewe mmeridhika na makombe ya Emirates na community shield.
Wenzenu Spurs washamtimua Ange Postecoglou, nyie endeleeni kufuga huyo Tetea huenda mmeridhika kuokota mayai. View attachment 3358260
Unacheka kwa dharau?! Tuonyeshe kikombe chochote tu kinachofanania na hicho. Kuna mahali mnajiweka wkt kiuhalisia nyie empty. Fanyeni mkakati kwanza mfahamike kwanza ulaya, wenzenu Tot sasa rasmi wanafahamika ulaya na hawajiweki huko mnapojiweka.HA HA HAAA!!!
Tunacheka kwa dharrrraaaauuu.
HA HA HAAA.
Conference League? SERIOUSLY??
HA HA HAAA.
TUNACHEKA KWA DHARRRAAAUUU.
Huyu huyu Arteta tutamtumia kuwapatia wakati mgumu enyi manyumbu na kenge wote mtakaothubutu kuingiza timu uwanjani sisi tukiwepo. Baada ya miaka mitatu hivi tunawaletea mtesi mwingine.


Kwa Tetea Kiwigi mtaishia kuwasindikiza sana wenzenu, hamuwezi kubeba kombe lolote la maana na average coach kama Tetea.
Wivu tuu.Mashabiki kwa mashabiki tupo torn juu ya usajili wa Kepa. Wanaosupport wanaongelea gharama ambayo alinunuliwa na anayouzwa sasa na hoja yao nyingine ni kwamba Chelsea ana wachezaji wengi kwahiyo ni sawa kujikuta unanunua wachezaji kwake.
Wanaopinga wanasema speed tunayokua nayo katika kununua mabeki, makipa na wachezaji wa Chelsea inabidi ifanyiwe utafiti. Kai alinunuliwa in 24 hours kwa 68M kwanini Sesko inakua ngumu?
Binafsi naona tuna changamoto hapa, tunahitaji kipa lakini ni wa kumpush Raya. Kepa hawezi kufanya hivyo hiki anachofanya Arteta na mwenzake ni kurukia deal cheap. Narrative yoyote wanayokuja nayo ama wao au mashabiki wanaosupport ni narrative ya kipuuzi.
Huyu ni mchezaji ambaye aliwahi kugoma kufanyiwa sub na kocha wake. Dunia ikiona, kama Arsenal tumewahi kugoma kusajili Bissouma kwaajili ya nidhamu, akaachwa Auba kwaajili ya nidhamu.
What's so special with Kepa?
La Zubimendi ndiyo lipo linapambaniwa ninavyosikia mimi. La Gyokeres halipiganiwi kama Sesko. Nina mashaka kidogo na Zubimendi maana jamaa ni mzito kidogo kuhama kwao, haswa kama timu yake nayo haitaki kumuuza. Alikuwa aende Liverpool msimu jana halafu akaamua kubaki alipo dakika za jioni kabisa.Kuna uwezekano mkubwa deal la Zubimendi na Gyokeres limekufa
Badiashile mwacheni abaki huko kwenu. Kepa tutaweza kumtumia mechi za makombe madogo.Wivu tuu.
Aser8 & Blues ina urafiki wa muda mrefu wa kuuziana na kukopeshana wachezaji.
Tumejitahidi kwa miaka mingi kuwasaidia kubeba makombe, tumewapa Kai & Jog washindi wa UCL bado mmekwama kubeba UCL.
Msimu huu tunawapa Keppa na Badiashile. Msituangushe tena
Wivu tuuMnachekesha, wala hamjui mnahitaji nini , Kepa wa nini sasa ? Hata kama ni back up ! Mlitakiwa mpate mshindani haswa wa Raya !! Kuna mda anazinguaga awe anawekwa benchi walau !
Mna scouting team ya ajabu sana, magarasa yote yaliyoshindikana Chelsea mnabeba nyie, hamjifunzi tu ?
Huyu kepa price tag yake nzuri, lakini mshahara mkubwa !
Zubimendi anaenda Real Madrid kwa AlonsoLa Zubimendi ndiyo lipo linapambaniwa ninavyosikia mimi. La Gyokeres halipiganiwi kama Sesko. Nina mashaka kidogo na Zubimendi maana jamaa ni mzito kidogo kuhama kwao, haswa kama timu yake nayo haitaki kumuuza. Alikuwa aende Liverpool msimu jana halafu akaamua kubaki alipo dakika za jioni kabisa.
Bado tunapambania. Atakuja July.Zubimendi anaenda Real Madrid kwa Alonso