Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]We 'll be stronger COYG[emoji123] ([emoji1787])
View attachment 3353586
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]We 'll be stronger COYG[emoji123] ([emoji1787])
View attachment 3353586
season 7 itakua ni balaa🔥😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 3353594View attachment 3353595
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Baada ya kuona ukame wa makombe unazidi wakaamua kujianzishia kombe lao la Emirates, kila msimu na wao wananyanyua kwapa.
Yah we won't stop eating salary free nyamnyamWe 'll be stronger COYG💪 (🤣)
View attachment 3353586
Hilo Kombe la Emirates wanacheza timu ya wanaume vs ya wanawake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Baada ya kuona ukame wa makombe unazidi wakaamua kujianzishia kombe lao la Emirates, kila msimu na wao wananyanyua kwapa.
Ukiwasikia wenyewe wanasema Arsenyo ndoo hua wanamaanisha makombe haya. View attachment 3353733View attachment 3353734View attachment 3353735
Hapa hakuna timu. Msimu unapoanza malengo ni kusindikiza mabingwa kwa kuwatingishia wowowoo na huku wakisema chukua chukua yote yako
Acha kuwadanganya wewe Waliionyesha upinzani gani upinzani upi huo wamepigwa mechi zote nje ndani Home /Away kulikuwa na upinzani hapoAt least mlionyesha upinzani Kwa PSG , tofauti na Yale mambuzi kutoka Serie A ya kuitwa Inter Milan, very hopeless, fainali ya UEFA ikawa kama Ndondo Cup
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Baada ya kuona ukame wa makombe unazidi wakaamua kujianzishia kombe lao la Emirates, kila msimu na wao wananyanyua kwapa.
Ukiwasikia wenyewe wanasema Arsenyo ndoo hua wanamaanisha makombe haya. View attachment 3353733View attachment 3353734View attachment 3353735
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watahamia ligi ya kina mama, kina Ødegaard wataenda kucheza na dada zao, walau huko wana uhakika wa kubeba ndoo na kupata Ballon d'Or.Kwa sajili anazoendelea kufanya CITY, Msimu ujao Arse8 anatoka mikono mitupu tena. Ni vema mkafikiria kuhamia ligi ya Championship embu kaeni chini mlitazame hilo.
Ila jamaa Flano kashata sana wewe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tetea Kiwigi anajihesabia mpaka sasa ana makombe mawili ya Epl kisa misimu miwili iliyopita amemaliza ligi kwa points nyingi kuliko points za mabingwa wa msimu huu.
Arsenyau mna siri sana, kumbe mmebeba mikombe miwili ya Epl halafu hata hamsemi.
# Tetea Kiwigi Mitano Tena. View attachment 3355714
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Imefikia wakati sasa mpaka ma legends wa Arsenyau wameshamchoka Tetea Kiwigi na False hope zake.Ila jamaa Flano kashata sana wewe.
aibu ? kivipi yani? do you think who is accountable in that regard?Brother hunaibu ?
Hajatuacha mbali. Kesho tu hapa tunampita. Chelsea, Liverpool na Manchester City nao tutawakuta ndani ya miaka michache tu. Safari yetu inaelekea kileleni mwa hii orodha, na tutafika tu.![]()
Club coefficients | UEFA rankings
UEFA.com is the official site of UEFA, the Union of European Football Associations, and the governing body of football in Europe. UEFA works to promote, protect and develop European football across its 55 member associations and organises some of the world’s most famous football competitions...www.uefa.com
Nyie mazwazwa msijikaushe UEFA wamerank teams 2025, timu yenu bora imepitwa mpk na nyumbu, kweli nyie viazi.
Petit alitukimbia na kwenda Barcelona bila kushawishiwa saaaana...n akaenda Chelsea pia. Miaka yake bora ametumikia timu zingine. Huyu si legend wetu. Anajipendekeza tu anapotuona tunafanya vizuri kidogo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Imefikia wakati sasa mpaka ma legends wa Arsenyau wameshamchoka Tetea Kiwigi na False hope zake. View attachment 3355754