Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 712
- 1,300
Wanaume wanashuka dimbani kucheza Fainali UCL, Aser8 amebaki vyumba vya kubadilishia nguo na kanga moja imelowana anamsubiria mshindi.
Hakika mkuuIli upate faraja inabidi ujifananishe na aliyekuzidi ubora halafu unajifanya umemzidi.
Ni hulka ya kibinadamu.
Luis alipoona hawafungi sana hii January akataka aletewe mtu. Akaletewa Kvaraskhelia.Enrique anaenda kunyenyua kwapa, kipindi tunahangaika na unai na arteta mwanzoni, nilikuwa najiuliza kwani luis Enrique hawamuoni..
Hata humu nishawahi andika.
Wenzetu wamenyanyua ndoo, sisi tupo tu.. mpaka Tottenham ni fedheha.
Leo finishing yao ilikuwa clinical sana.Oya hawa PSG wamefika fainali na hasira sana za kuitwa farmers league 😅
Kwanza kama hatutakuwa na kiungo anayeweza kufanya central progression wakati wa kushambulia na badala yake tukategemea wings basi tuna msimu mwingine kama huu au uliopita.Hawa Inter sisi ndiyo tulihofia kukutana nao kwakua wanapaki basi na kuua movements kwa hila.
Akawatuliza Barca. Akatupiga moja.
Leo alichofanywa ni statement kwamba timu zinahitaji kuspend.
Arteta na mwenzake waache masihara
Nakuunga mkonoKwanza kama hatutakuwa na kiungo anayeweza kufanya central progression wakati wa kushambulia na badala yake tukategemea wings basi tuna msimu mwingine kama huu au uliopita.
Hatuna clinical finisher,
Hatuna defined left winger,
Hatuna namba 10 wa maana (baller),
Hatuna bench la maana baada ya kikosi Cha kwanza.
Jesus spana mikononi,
Martinell spana mikononi,
Harvets haeleweki kabisa,
Partey spana mikononi,
Timber spana mikononi,
Trossard umri,
Akili za wachezaji zibadilike,
Kocha abadilike (katugharimu na kumchezesha partey right back),
Sera za usajili zibadilike (wasingoje kutatua Kila tatizo mwisho wa msimu kuwe na January kit).
Tabia ya wamiliki ibadilike (wasimfanye kocha ajihisi Yuko too safe na kibarua chake)