Ubora gani mliokua nao? Kumfunga madrid au? Ndani ya hizo phase zenu mmezidiwa mafanikio mpk na Westham hlf mnasema ni bora.Achana naye huyo. Mapenzi na Arsenal yamemzidi kiasi kwamba hata Chelsea walioshinda Conference league, kitu ambacho sisi hata kushiriki hatukuweza kwa sababu ya ubora wetu, anaona ni mafanikio kuliko Arsenal. Yeye anaona Newcastle kubeba Carabao mwaka huu ni mafanikio kuliko Arsenal tangu 2020. Pia mpe tu muda Labyrinth 84 atarudi tu Arsenal akishaona jinsi tunavyojichotea vikombe hivi punde.
Timu bora zote zinashika nafasi ya 4, 15 na 17. Isiyo bora peke yake ndiyo inashika nafasi ya 2.Ubora gani mliokua nao? Kumfunga madrid au? Ndani ya hizo phase zenu mmezidiwa mafanikio mpk na Westham hlf mnasema ni bora.
Ubora unapimwa kwa makombe mjomba, haupimwi kwa nafasi.ndio mana mwanzo wa msimu mnaongozaga ligi hata hamjacheza. Hivyo kwa msimu huu Crystal Palace ni bora kuliko Arsenal.Timu bora zote zinashika nafasi ya 4, 15 na 17. Isiyo bora peke yake ndiyo inashika nafasi ya 2.
Zungusha bangi tuendelee
Nakubaliana na wewe. Ndiyo sababu Arsenal women ina msimu bora kuliko timu zote za ligi ya Uingereza za wanaume.Ubora unapimwa kwa makombe mjomba, haupimwi kwa nafasi.ndio mana mwanzo wa msimu mnaongozaga ligi hata hamjacheza. Hivyo kwa msimu huu Crystal Palace ni bora kuliko Arsenal.
Huna hata medali halafu unajiita bora, wa wapi wewe?
Mimi naona wote tu wangefaa.Dah, haya Arteta,lakini binafsi Sesko is not my choice. Gyokeres anajua kuitumikia namba 9
Naona umempokea kama alivyokujaNakubaliana na wewe. Ndiyo sababu Arsenal women ina msimu bora kuliko timu zote za ligi ya Uingereza za wanaume.
Kweli watu mmepagawa kwahiyo wewe ni women🤣🤣🤣🤣🤣Nakubaliana na wewe. Ndiyo sababu Arsenal women ina msimu bora kuliko timu zote za ligi ya Uingereza za wanaume.
Yes kasoro liva, chelsea, Crystal Palace na Tott. Wengine wote mimavi tu.Nakubaliana na wewe. Ndiyo sababu Arsenal women ina msimu bora kuliko timu zote za ligi ya Uingereza za wanaume.
Sasa UEFA italinganishwa na hayo makombe mengine? Kwamba unataka kusema kombe la liver linalingana na la Crystal palace?Yes kasoro liva, chelsea, Crystal Palace na Tott. Wengine wote mimavi tu.
Hatulinganishi, nimekutajia timu zilizofanikiwa msimu huu. Hata simba au yanga wakibeba kombe, wanakuwa na mafanikio kuliko nyie wazee wa phase.Sasa UEFA italinganishwa na hayo makombe mengine? Kwamba unataka kusema kombe la liver linalingana na la Crystal palace?
Kulinganisha muhimu si ndiyo maana nyinyi mnalinganisha au kuna mwisho wa kulinganisha?Hatulinganishi, nimekutajia timu zilizofanikiwa msimu huu. Hata simba au yanga wakibeba kombe, wanakuwa na mafanikio kuliko nyie wazee wa phase.