Unakabia kwa juu sana mkuuView attachment 3349877
Patei efusii, haya makombe mtayasikia kwnye bomba wajalaana nyie.
Makati huo huo umefunga 16 kwa setpc na kufungwa 12... nawaona watu wa asernal mnalalamika kuonewa wakati huo mnacheza huuni kufunga hayo magoli.. kama yangechunguzwa walao robot yangekuwa disqualified.Hoja kali sana hii.
Nafikiri pia ndiyo maana Arsenal haina wafungaji wenye magoli zaidi ya 10 ila ni miongoni mwa timu 4 za juu zilizoongoza kwa kufunga magoli mengi huku pia ikiwa katika timu zilizofungwa magoli machache. Kama ni kufosi, tunafosi, ingawa uzembe pia tunafanya.
Nikupe mfano. Je inakuwaje Arsenal iliongoza kwa kufunga magoli ya set pieces, licha ya kutofunga goli hata moja kwa direct free kick? Corner kicks na indirect free kicks. Jibu ni kwamba ulifika wakati Arsenal ilibidi ikazane na kutumia set pieces na ikafanyia kazi suala hilo.
Amorim akiwa Man United alisema hiki juu ya Saka na Martinelli- alisema hawa jamaa wakiingia kwenye box na kuruhusiwa ku cut in na kushoot, wanakuadhibu hivyo mabeki wanahakisha hawawaruhusu kucut in na kufunga.
Njia mbadala ya mabeki ikawa ni kuwaweka kwenye weak foot zao ili wakishindwa kushoot basi wapige cross. Cross inaweza ikazaa goli au mmaliziaji akakosa lakini pia mara nyingi cross hizo zilizaa kona. Arsenal ikajua hilo na ikajitahidi kuhakikisha inapata magoli kwenye hizo kona.
Hiyo ndiyo mentality ya kibingwa unayoiongelea.
Sasa recently Chelsea umemzidi nini wewe?? Recent ni muda gani?? Kama ni mwaka huu huna ulichomzidi, mwaka uliopita hauna ulichomzidi mwaka juzi huna ulichomzidi, miaka 5 nyuma Ana vingi sana kakuzidi, miaka 10 nyuma Ana vingi sana kakuzidi , miaka 20 nyuma pia bado Ana vingi kakuzidi . Arsenal umemzidi nan sasa 😂. Community shield na carabao bora nini ?Its very fun to deal with fun cases.
Mimi nawaelewa sana mashabiki wa liver au city wakija kutuchangamsha humu na ni haki yao kabisa as they are highly decorated with success in recent years.
Ila hata man u,Chelsea au Newcastle?
Hahaaa hii inanikumbusha tabia za mwisho kwa mtu anayekaribia kuitwa marehemu
Spurs kabeba Europa kabla ya arsenal, within 10 years spurs ni bora zaidi ya arsenal, miaka 10 iliyopita kashiriki final uefa, kabeba europa na kashiriki uefa mara nyingi zaidi ya assnal.Adi Spurs anabeba europa ninyi mupo mupo tuuuðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Unawapaga fact hawa viazi, kha! Hawakupendi.Sasa recently Chelsea umemzidi nini wewe?? Recent ni muda gani?? Kama ni mwaka huu huna ulichomzidi, mwaka uliopita hauna ulichomzidi mwaka juzi huna ulichomzidi, miaka 5 nyuma Ana vingi sana kakuzidi, miaka 10 nyuma Ana vingi sana kakuzidi , miaka 20 nyuma pia bado Ana vingi kakuzidi . Arsenal umemzidi nan sasa 😂. Community shield na carabao bora nini ?
Msimu huu wamezidiwa mafanikio hata na Crystal Palace.Spurs kabeba Europa kabla ya arsenal, within 10 years spurs ni bora zaidi ya arsenal, miaka 10 iliyopita kashiriki final uefa, kabeba europa na kashiriki uefa mara nyingi zaidi ya assnal.
Leicester huyu hapa kashuka daraja atapanda atabeba epl haijalishi ni mwaka gan hata 2050 ila itakua kabla ya arsenal 😂😂
Achana naye huyo. Mapenzi na Arsenal yamemzidi kiasi kwamba hata Chelsea walioshinda Conference league, kitu ambacho sisi hata kushiriki hatukuweza kwa sababu ya ubora wetu, anaona ni mafanikio kuliko Arsenal. Yeye anaona Newcastle kubeba Carabao mwaka huu ni mafanikio kuliko Arsenal tangu 2020. Pia mpe tu muda Labyrinth 84 atarudi tu Arsenal akishaona jinsi tunavyojichotea vikombe hivi punde.Unawapaga fact hawa viazi, kha! Hawakupendi.