Nilikua X nafikiri wiki 2 zimepita nikakuta page moja inafananisha msimu wa city na wa Arsenal ikaonyesha city na ubovu wake ina trophy ambayo ni community shield na inawania nafasi ya pili ya ligi.
Muda hii page inaandika hivi Arsenal tulikua tunaongozwa mbili bila na liver. Na netizens wakaipokea habari wakachambua ubovu wa msimu wa Arsenal na kuisifu city kwamba pamoja na msimu mbovu ila city ana kombe.
Baada ya game kuisha Arsenal akasuluhu kuna shabiki wa Arsenal akauliza kwanini Arsenal inasemwa haijashinda kombe kwa miaka mitano nyuma wakati kombe hilohilo kwa City litahesabiwa na Klopp aliagwa huku likitajwa. Na hata ilivyoonekana Arsenal anaweza kukosa nafasi ya 2 ikaonekana ni failing ila kwa city ni success?
Likaja jibu kwamba "Because our floor is their ceiling"