IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,823
- 7,327
Hilo ndilo kombe lililowaingiza Manyumbu kwenye Europa ya msimu huu baada ya kulishinda msimu jana...FA halina mashiko tuongelee la premier league π
Usiwaambie hawa wanafki wa Chelkenge, Livakuku, Manyumbu na C115y hizi habari. Hawatakuelewa.Kwa Uingereza Arsenal ni timu ya tatu yenye vikombe vingi
psg si walitoa mlungula lakini? kwa VARs.Imeingia Fainali ya Mbao Cup huko jijini London
Unaendeleaje mkuu π[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Teknolooooojiaaaa
Work smarter not harderView attachment 3326918
Man united inaua vipaj
Aisee weka basi ile UEFA Cup Winners Cup yetu ya 1994.A reminder for everyone who needs to hear it π«ΆπΌ
League titles:
Arsenal - 13
Chelsea - 6
Champions League:
Arsenal - 0
Chelsea - 2
FA Cups:
Arsenal - 14
Chelsea - 8
Community Shields:
Arsenal - 17
Chelsea- 4
Major honours won:
Arsenal - 48
Chelsea - 34
Relegations:
Arsenal - 0
Chelsea - 6
League and cup doubles:
Arsenal - 3
Chelsea - 1
Invincible:
Arsenal - 1
Chelsea - 0
Played in conference league
Arsenal -0
Chelsea -1
Lowest position finish:
Arsenal - 12th
Chelsea - 20th
Arsenal wins against Chelsea - 83
Chelsea wins against Arsenal - 66
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asikwambie mtu maumivu ya Runner-up hua ni makali kuliko hata maumivu ya kushuka daraja, yaani hii hali tunayopitia mashabiki wa Utd kwa kukosa Europa najiuliza hapa hivi hawa Arsenyau wanawezaje kuvumilia maumivu makali kiasi hiki kwa misimu mitatu mfululizo?Unaendeleaje mkuu [emoji41]
Vumilieni π[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asikwambie mtu maumivu ya Runner-up hua ni makali kuliko hata maumivu ya kushuka daraja, yaani hii hali tunayopitia mashabiki wa Utd kwa kukosa Europa najiuliza hapa hivi hawa Arsenyau wanawezaje kuvumilia maumivu makali kiasi hiki kwa misimu mitatu mfululizo?
Nilichojifunza kama binadamu kuna wakati inatakiwa tuwe na huruma japo kidogo kwa mashabiki wa Arsenyo. View attachment 3343721
πππ hujakosa kabisa namna ya kutuhusisha sisi kwenye andiko lako la masikitiko juu ya timu yako.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asikwambie mtu maumivu ya Runner-up hua ni makali kuliko hata maumivu ya kushuka daraja, yaani hii hali tunayopitia mashabiki wa Utd kwa kukosa Europa najiuliza hapa hivi hawa Arsenyau wanawezaje kuvumilia maumivu makali kiasi hiki kwa misimu mitatu mfululizo?
Nilichojifunza kama binadamu kuna wakati inatakiwa tuwe na huruma japo kidogo kwa mashabiki wa Arsenyo. View attachment 3343721
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani kabisa niache kushabikia hata Spurs yenye walau kombe la Ulaya niende nikashabikie Arsenyau kwangu pakavu?[emoji2][emoji2][emoji2] hujakosa kabisa namna ya kutuhusisha sisi kwenye andiko lako la masikitiko juu ya timu yako.
Hata hivyo, sisi tutabaki kuwa juu na nyie mtaendelea kubaki chini.
Msimu ujao najua utakuwa unatushabikia Ulaya.