Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haina shida hizo risiti wewe zitunze, ila tukutane mwakani may
Miaka mingi tulikua tuna-struggle mwisho ila msimu huu tuna-struggle mwanzoni.

Siongei sana
Mkorea ulisema risiti zako tuzitunze tukutane mwakani mwezi May na Mwezi May ndio huu Mkuu
 
Sasa new ST, LW, AM maybe na Zubimendi, kwanza kama tunamsajili zubi maanake total football ile msimu wa kwanza wa Zinchenko inarudi, kama Zubi anamreplace partey maanake hata style of play inachange, sio tena physical, ni technical tu sasa kina Newcastle hatushindani tena manguvu na duels off the park ni kuutafuta chumba kwa chumba, passer zubi, release runners kina maybe Williams na new ST ambaye naamini atakuwa outlet km Haaland sasa kwanini usienjoy soka, ukumbuke km Zubi ni dm maanake we control the game with the ball, yani mwingi paka unamwagika na goli ni nyingi cuz we will have a top striker, the future is exciting, in Arteta we trust. #Coyg.
 
Sawa Charlie chaplin.
 
Kwahiyo hizo injuries ilipata timu yenu tu?
Timu nyingine wachezaji Wana miili ya chuma walikuwa hawaumii?
 
Sasa hasira nitolee wapi wakati nina carabao cup😅
Relief ipi ivi kati ya false hoper na mimi geordie nan wakutafuta relief

Maisha ya nadharia yatawaua false hopers ..yaani una nadharia ya mimi kulelewa na mzazi mmoja tena kama nadharia ya fainali mnacheza na barcelona😂😂😂😂
 
Hongera kwa Carabao cup. Tukutane CL mwakani.

Una attachment issues pia, hii kunifuata na kukomaa nimesema vitu sijawahi kusema siyo mara ya kwanza.

Inamaanisha nipo sahihi juu ya nilichosema, haya ni malezi ya mzazi mmoja yamesababisha utafute kufit in kilazima hata kwa kuongopa.
 
Mkuu hapo chini umezingua na umepanic.
Watu wamelelewa na wazazi wa wili na bado wakawa mashoga.
 
Mkuu hapo chini umezingua na umepanic.
Watu wamelelewa na wazazi wa wili na bado wakawa mashoga.
Chief, hua unanijudge nasema umekosea. Mimi kazi yangu inahusisha kujudge character pia, na nilichofanya hapo ni uzoefu wa kazi yangu.

Kuzingua ama la niliyemquote atajua.
 
Mkuu Castr ulifika mpaka hatua ukawaita watu Majinga Majinga kwa sabahu ya kuwafunga R.Madrid ukaamini kabisa una team bora .
Basi ligi ya EPL imejiishia kama timu worse inashika nafasi ya pili.
 
Yani unachukua kombe afu huvutii wachezaji, hii ni case ya Liverpool na chelsea, tofauti Chelsea wao humwaga hela case ya Mudryk

Hivi hawajui kuwa Rice tulimchukua mbele ya City na Bayern, Harvertz tulimchukua mbele ya Madrid na Bayern
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…