Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bingwa ni Inter Milan. Chukua hii nakupa sasa.
 
Coca nazidi kuwaduwaza watu, na utabiri wangu, ingekua ni betting ningeshazoa mapene mengi.

Jah endelea kuwa upande wangu, niwashangaze zaidi hawa waja. 😂😂😂😂😂

Nimeahidiwa 2M, km utabiri wangu utatimia ktk final, watu wana hasira na mie hatariii.
Woiiiiih.
 
magnifico wee bwashee em njoo hapaa tusemezane vyediii! Nilikuambiajee?
😂😂😂😂😂 nacheka km mazuri vilee. Woiiiih
 
Wanawake wanaanzaga Kubeti kwa mtindo huu.
Wanaanzaga Ushee Yahaya mwisho wanaanza Mapambano na Harakati za Kubadili karatasi kuwa Hela.
 
Wanawake wanaanzaga Kubeti kwa mtindo huu.
Wanaanzaga Ushee Yahaya mwisho wanaanza Mapambano na Harakati za Kubadili karatasi kuwa Hela.
Mie ni fan lia lia wa futiboli, ila kubet hapana.
Nililiwa mara moko, sitaki tena hata kusikia.
😂😂😂😂😂
 
Walikuwa wengi, sasa tumlaumu trossard wakati yeye saka ndio kakosa nafasi ya wazi!??
Imeandikwa Kila mmoja atabeba msalaba wake, kwani kanisani huwa unaenda kupiga selfie 🤳 nini 🤣
Hao wengine hata nafasi za wazi hawajazipambania kuzipatq ila analaumiwa Saka tu
 
Flano weka na maneno ya akiba
Mzee wa maneno ya akiba, vipi zile picha zako zilizoanza kuvuja bado zipo tuziweke humu?
Masingeli anakwambia mpira ni mchezo wa wazi, kwa ule ukuta wa Psg pamoja na lile kipa lao Donnarumma Mashabiki wa Arsenalia mlitegemea kabisa kina Sakanyoka, Moringo na Matembele watapiga comeback?
 
Kilichobaki tujadili msimu ujao tu,
What if tukamsajili dembele, merino afundishwe kucheza 6 alafu rice acheze cm
Then tutafute 9 wakueleweka, havertz awe anapokezana na rice au uyo 9.
At the same time nwaner awe intergrated zaid kwenye AM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…