Hii ndio tofauti ya sisi na wao. Tofauti ya kuni na mbao.Arse8 mje sasa leo muone jinsi View attachment 3327427ya kuingia fainali za Ulaya. Zingatia aggregate.
Khaa😄😆😂🤣
😂🤣 Mpira hauko hivyo akikosea tunamchana, akipatia atasifiwa, alichokifanya hakijatosha..
Kwahiyo we ukinunua nguo siku moja ndio inakuwa kauka nikuvae, hununui tena😂🤣
Eh aisee acha tu.Kiko wapi?
Waombee peke Yako sifanyi huo ujinga Hilo kombe wakishinda haliandikwi EPLMm nafikil tuiombee arsenal aingie ata fainal make itakua ni aibu ligi kubwa EPL kukosa muwakilishi
PSG wanatisha.Eh aisee acha tu.
Hakipo kokote. PSG walikua hatari on and off the ball
Labda mapenzi yanafanya niwe na macho ya bandia sioni vizuri.PSG wanatisha.
Mwaka huu wakilibeba hili kombe sitashangaa.
Arsenal mlikuwa outclassed kabisa.
Arsenal tuna defense hatuna ST.PSG wanatisha.
Mwaka huu wakilibeba hili kombe sitashangaa.
Arsenal mlikuwa outclassed kabisa.
Zionekane nyingi sanaAnataka kuamisha magoli.
Yes.Arsenal tuna defense hatuna ST.
Inter wana team inakaba (Players wao hua wanakua kama na situation unawareness) na wana forward zinascore.
Fainali siyo nyepesi