Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,731
- 9,015
Matinelli anakimbia kama kabeba jiwe mgongoni ndo wa kufananisha na madueke!Bila shaka ww ni shabiki wa cheltako, acha kumfananisha matinell na vitu vya kijinga
Matinelli anakimbia kama kabeba jiwe mgongoni ndo wa kufananisha na madueke!Bila shaka ww ni shabiki wa cheltako, acha kumfananisha matinell na vitu vya kijinga
Ngoja tusubiri comebackvijana wanafeli sana hadi notinham anamshinda
Sisi hatushootaggregate isipokuwa 4-2 au 4-3 kama jana sijui
SanaMm nafikil tuiombee arsenal aingie ata fainal make itakua ni aibu ligi kubwa EPL kukosa muwakilishi
Itakuwa bila kumwagilizia, kwani mvua si zinanyesha hizi 😂Goli mbi
Goli mbilii mtapataa Jirani wa London ilaaa ss nao psg wataongeza mbilii ,ss hapo itakuwajeee😀😀😀
namwona dembele anapasha paleNgoja tusubiri comeback
Hata kigoda hapindui leoBado naamini arsenal atapindua meza
Chezea ACHRAF HAKIMI weweMartinelli pumzi imekata
hhehee nmeona wameenda kuchomelea lao😀😀😀😀😀😀😀😀 Daaaaaaa
Kumanishaa arsenal hawana namna yakupata UEFA labda wakaliibee labdaa
Mgumu sana huyo kutoa uteleziYupo BAHATI BUKUKU Mbona yupo tu anaimba kwa nni wasimchukue
Kwan sara akuwepo kweny game yenu na PSGWanangu arsenal mgekuja tuwaazime Salah japo awabebe kwa magoli mawili
Baada ya goli la raphina kakimbia banda umiza.Ila scars Jana ulinichekesha Sana. Baada ya goli la Raphina ukaamua kwenda kulala. Unaamka saa Tatu asubuhi kuchek notification unashangaa inter 4-3😆😆
😀😀😀😀😀😀😀😀 Daaaaaaa
Kumanishaa arsenal hawana namna yakupata UEFA labda wakaliibee labdaa