Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
usiku mwema wakuu ....
gooners together we stand
Have fun in Europa League Nasri
lol.
Olympiacos wamewafunga marseille.
Mechi ya mwisho marseille na dortmund. Marseille lazima watammind Wenger kwenye mambo ya ku-rotate lol
Na kiwango chake chenyewe kimeshuka mno ghafla, lakini hajali hilo yeye anajali bank balance hata akisugua benchi poa. Huku kwetu alikuwa akicheza na uhuru na spirit huku kwetu ni tofauti na kule kwa Mancini, kule ni kama jeshini tu. Namtabiria season 2 ataanza kutafuta kilabu kipya kama Adebayor.Have fun in Europa League Nasri
lol.
Wait a minute!is that an angel with wings or just a normal superb human being?
Jamaa anatisha sana,na namkubali.Gooners.Huyu R.V.P anawafanya watu wa R.I.P,kwa kweli huyu bwana wasipomuumiza/asipoumia tu kwa msimu mzima,record atakayoweka naona mpaka aibu kusema.Huyu january tutamtafutia striker mwenza ili angalau awe anapumzika.
yaani wewe tunaipenda pamoja arsenal duuu hongera hapa ndo umechagua kitu kizuri si magamba? Bora hata ungekuwa cuf ila magamba???? Mmmh!hata msemeje!! Arsenal kwa sasa bado ni tishio!!