Arsenalia Tetea amemaliza tena phase7 mikono mitupu, ombeni sana dua Man Utd United na Chelsea tukose Europa na Conference.
Kinachoniuma hili jukwaa kuanzia kesho linatelekezwa na wenyewe, ila HENRY14 wasisitize wenzio wasikimbie, waendelee kubaki humu washangilie Arsenal Queens kwenye Uefa final.