Si tulisema humu currently psg wapo inform kuliko arsenal ila false hoppers humu wakawa wanaitangaza fainali yao na inter milan na kwenda mbali zaidi kusema washalibeba kombe hilo
Ila scars Jana ulinichekesha Sana. Baada ya goli la Raphina ukaamua kwenda kulala. Unaamka saa Tatu asubuhi kuchek notification unashangaa inter 4-3ππ