Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,377
- 80,238
πππππππaah wapii, azima afike, ntamcheka kesho hatari, ππππ
Baelezee baambie baelewe π π π πTunawakumbusha huko paris Liverpool ali toka na off target 2 on target 1 possession 70 kwa 30 huko ni jela nyengine hawafuniki kibakuli kama bernabeu ila matusi Yake ni yaki comasava
πππππTimu kam Liverpool hairidhishwi na kiwango cha wachezaji kama Luis diaz, Nunez, Jota ila kuna wapuuzi hawa wao wanaamini kabisa Moreno, Trossad na Martinelli ni best na watawapa taji la UCL.
Hili kombe letu hili.Mabingwa wa uefa nyenyenye
We Henry
Unadhani UEFA ni sawa na kula dona? π
Wanajua sana boli hawaMaclassmate hao
Ngoja tuone ππHili kombe letu hili.
Walisema Liverpool wazembeTunawakumbusha huko paris Liverpool ali toka na off target 2 on target 1 possession 70 kwa 30 huko ni jela nyengine hawafuniki kibakuli kama bernabeu ila matusi Yake ni yaki comasava
Nyie nacheka km mazuri vilee. πππππTunawakumbusha huko paris Liverpool ali toka na off target 2 on target 1 possession 70 kwa 30 huko ni jela nyengine hawafuniki kibakuli kama bernabeu ila matusi Yake ni yaki comasava
Kombe la maji sawaHili kombe letu hili.
Naam mii nawaambia watu timu ina mtu kama vitinah hapo kati peke yake anaweza piga pass 100 per match hio ni level zakina rodri ujue afu uje useme uta mdominate weee akiumia huyu hapo kidogo ndo naweza sema mna chance maana hio ndio engine ya psgWalisema Liverpool wazembe
Tukasema ngoja waende wao wanaume wa shoka mahodari wabebe uefa.
ππππ jamani, mni pumzishe, mbavu zinauma huku. LolTimu kam Liverpool hairidhishwi na kiwango cha wachezaji kama Luis diaz, Nunez, Jota ila kuna wapuuzi hawa wao wanaamini kabisa Moreno, Trossad na Martinelli ni best na watawapa taji la UCL.
Wanaume wa mitutuWalisema Liverpool wazembe
Tukasema ngoja waende wao wanaume wa shoka mahodari wabebe uefa.
Alikuwa eti anamendea free kick nje ya 18 ili abahatishe kama Madrid fest round.Rice kakabwa, we didn't see his sparks