Hii game inatakiwa muuwane humo uwanjani na damu zimwagike na ndio maana ilikuwa a highly anticipated match maana timu zote zina quality lakin mmoja kama yupo slightly on form kidogo zaidi kwaio hapo ni mwendo wa mchaka mchaka kama walio upitia aston vila na Liverpool
Arsenal hamtakuja kupata timu kama hii na hata kufika nafasi kama hii msimu ujao itakua ngumu hata ikitokea mkasajili huyo striker namba 9 mnaye mmiss pale mbele. Msimu ujao kila timu mbovu inarudi kwenye makali yake Madrid, Man City, Chelsea mtaweza kutoboa nyie?
Mnacheza soka safi ila hamkukutana na kipimo sahihi.