HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Wewe ni miongoni mwa wenye fikra potofu."Siyo kujidhalilisha kuwapigia makofi bali ni kuwapongeza tu kirafiki kama washindani na marafiki zetu katika soka."
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hery14 banaaa, yaani timu lako lina zaidi ya miaka 20 halijabeba Epl, misimu mitatu iliyopita lilikua na nafasi kubwa ya kubeba hilo kombe lakini pia likashindwa, halafu liverpool ambayo hakuna mtu yeyote alietegemea itabeba hilo kombe msimu huu inapita nalo nyie mnabaki kua wasindikizaji, tena kwa kua nyie ni mazuzu sheria inawataka mpange mistari muwapigie makofi wakiwa wanaingia uwanjani halafu wewe unaona huo sio udhalilishaji?
Ingekua Arsenyau imebeba hilo kombe hata miaka mitano iliyopita walau unakua na nguvu hata ya kujitetea kua unawapongeza washindani wako, sasa wewe ni zaidi ya miaka 20 huo ushindani wako kwa Liverpool unautolea wapi?
Kwa akili za harakaharaka tu unafikiri hapa chini V.Persie alikua anajisikiaje? View attachment 3316511View attachment 3316512