Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni sawa unachokiona.

But umesikia akisema chochote kuhusu our true pressing matter? ST na RW
Nafikiri kwa Arteta na Berta striker na winger ni vipaumbele vikuu vya summer ila wanahitaji pia kutafuta kipa, beki na mido pia kwa sababu ya watakao ondoka.
 
Retains Partey, retains Kiwior, retains Saliba, release Jorginho, bring Gyokeres. Kuna watu hawataleta timu.
Siafiki wazo la Zubimendi, Sesko na Dusan.
Nampenda Nico ila tatizo atataka kuanza badala ya Martinelli
 
Same story, the guy is good. He is underrated because he hasn't been given enough game time, so is Butler Oyedeji. Jana niliona kama akipewa muda wa kutosha, tusingekuwa tunatafuta ST. We shouldn't be moved by the big names, we have talents within club, they just need nurturing
Nah, nurturing iwe kwaajili ya kuuza. We need finished articles kama tunahitaji trophies
 
Retains Partey, retains Kiwior, retains Saliba, release Jorginho, bring Gyokeres. Kuna watu hawataleta timu.
Siafiki wazo la Zubimendi, Sesko na Dusan.
Nampenda Nico ila tatizo atataka kuanza badala ya Martinelli
Kuna member kasema Nico anakula 250K. Kama anapokea hii na mfano akija hapa akapokea hiyo tutaingia conflict ya Kai, kwakua anapokea kiasi kikubwa ni loss kumuweka bench.

Zubimendi is good. Akae na Partey angalau msimu mmoja. Sesko is good. Dusan is shitty, hii shitty form bora angeipata akiwa kwetu but hatuwezi mtoa Juve akiwa shitty tayari
 
Retains Partey, retains Kiwior, retains Saliba, release Jorginho, bring Gyokeres. Kuna watu hawataleta timu.
Siafiki wazo la Zubimendi, Sesko na Dusan.
Nampenda Nico ila tatizo atataka kuanza badala ya Martinelli
Tukifanikiwa kubaki na Partey ni safi. Ila Zubimendi aje maana Jorginho anaondoka na naamini Zubimendi ni bora kuliko Jorginho na huenda Partey pia, kama siyo kulingana naye.

Kwa striker aje mmoja tu, iwe Sesko ama Gyokeres. Vlahovic hatuna shida naye kwa sasa. Then winger mmoja mchapa kazi na beki mmoja mzuri anayeweza kucheza nafasi zote za nyuma kama Tomiyasu.
 
Vizuri kuwa nao, lakini when a team is star-studded, no one likes to come from the bench
 
Same story, the guy is good. He is underrated because he hasn't been given enough game time, so is Butler Oyedeji. Jana niliona kama akipewa muda wa kutosha, tusingekuwa tunatafuta ST. We shouldn't be moved by the big names, we have talents within club, they just need nurturing

Nwaneri hataki kucheza kama Saka ama kama RW. Yeye anataka kucheza kama Odegaard. Hatanui uwanja, hafanyi runs in behind za kutosha bali anapendelea kushuka kidogo apewe mpira aukokokote na saa zingine aingie mpaka upande wa kushoto. Anaingiliana nafasi na Odegaard wakiwa wote uwanjani mara kadhaa.

Ila ana shooting technique nzuri na anajifunza kuwa kama Saka zaidi. Kwa sababu anatoka Hale End, atatusaidia kuokoa pesa za kutafuta RW. Per aendelee kututafutia vipaji academy ambao wako tayari kuingia first team. Manyumbu waliwapoach Obi Marin na Heaven ila next season tutakuwa na vyuma vingine. Na bado tuna Nelson na Tavares kwenye vitabu vyetu. Kuweza kuwatafutia timu wachezaji wanaokosa namba kwetu nayo ni changamoto nyingine. Naamini summer itakuwa na mambo mengi msimu huu.
 
Vizuri kuwa nao, lakini when a team is star-studded, no one likes to come from the bench
Kama wataweza kuwa na attitude nzuri ya kupambania nafasi au kusaidia timu pale wanapoingia then ni vizuri. Martinelli alipoteza namba yake kwa Trossard msimu huu ila alipambana na Trossard alivyoshuka kiwango, akarejea kwenye nafasi yake.

Inabidi tujitahidi kuwa na quality kwenye kila nafasi. Tumekuwa na bahati msimu huu tumemkosa Calafiori, Tierney na Tomiyasu kwenye LB lakini Lewis-Skelly akaziba. Tumemkosa White na Tomiyasu kwenye RB lakini Timber na Partey wakasaidiana kuziba japo Partey si mzuri kama wao kwenye RB. Tumemkosa Gabriel LCB ila Kiwior so far kafanya vema na pale tulipomkosa Saliba RCB, Timber aliingia. Nafasi zingine zinahitaji kitu kama hichi pia.
 
Hawa Tottenham sijui wanatakaje. Mpinzani wako wa North London Derby akiwa hoi sana nayo siyo poa.
 
Ila Aseno wajinga kweli.
Partey anapokea mshahara mkubwa kwetu. Huu ni msimu wake wa mwisho ila inawezekana ndiyo msimu alioweza kucheza mechi nyingi bila kukaa nje kwa majeruhi na kutonyesha uwezo wake vizuri katika miaka 4 - 5. Pamoja na kuwa bonge la chezaji, hatujaweza kufaidi uwepo wake ipasavyo kwa miaka yote hiyo. Ana miaka 31 (au zaidi) na anatafutwa na timu kadhaa, zikiwemo za Saudia. Ana fursa ya kutafuta mkataba wenye pesa nyingi akijipanga kustaafu. Kwa pande zote mbili (Arsenal na Partey), inaonekana ni bora akienda kwingine.
 
Aston Villa anataka aingie top 4.
Man City anataka apande na kushika nafasi ya 3.
Je, Aston Villa ataweza kumshushia kichapo City kama kile cha Newcastle?
Je, Pep anaweza kumzidi ujanja mwiba wake Unai Emery?
 
Aston Villa anataka aingie top 4.
Man City anataka apande na kushika nafasa ya 3.
Je, Aston Villa ataweza kumshushia kichapo City kama kile cha Newcastle?
Je, Pep anaweza kumzidi ujanja mwiba wake Unai Emery?

timu zote ni nzuri ,city tangu atolewe CL na madrid.. hizi game za ligi zilizobaki ni kama pre season ndani ya msimu kwa pep kujipanga kuelekea msimu ujao na taratibu wanaanza kujipata.

next season in CL ,aston villa ningependa wawepo pia.. city ,arsenal pamoja na liverpool wanaenda kutoa good competition.
 
Odegaard is expected to under go surgery at the end of the Season, he's still playing under pain from his previous hamstring injury that seems didn't heal well
Arsenal can't let him under go surgery now, as he's considered a vital player in the current squad!

Castr nilikuambia huyo jamaa anacheza kwa ku-struggle ila classic ya odegard tunaijua
IMG-20250422-WA0015.jpg
 
NEWCASTLE asiwepo? Au Chelsea asiwepo. Kiushindani hapo naona ni bora Chelsea asiwepo.
 
Odegaard is expected to under go surgery at the end of the Season, he's still playing under pain from his previous hamstring injury that seems didn't heal well
Arsenal can't let him under go surgery now, as he's considered a vital player in the current squad!

Castr nilikuambia huyo jamaa anacheza kwa ku-struggle ila classic ya odegard tunaijua
View attachment 3312404
Chief kushoot haihitaji kua fit 100%
 
Ode anahitaji surgery kama mbili, hamstring na ankle na zote Arsenal wanategea mpaka msimu uishe ili asaidie saidie kidogo timu.
 
Back
Top Bottom