HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Hahahaha. Ni mtoto pale Arsenal ambaye tangu aje nikawa nasema 'huyu ni pisi kali ila simuoni kama mchezaji kwa jinsi alivyo na bonge la shape', tofauti na mrembo kama Lia Wälti ambaye ni mrembo ila ana mwili wa kisoka bila kuwa kama bouncer.Hahaha, una mmind sana? Ngoja nikwambie mtoto mzuri alipo, kuna namba 2 wa Manchester United anaitwa Gabrielle George, ana undugu na Lingard. That girl is cool.
Ila ndiyo hivyo tena nisingeweza kupata nafasi kwao kwa sababu ya jinsia yangu. Kama Zinsberger nadhani ni mwaka huu tu hapa mke wake kajifungua.