Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_2025-04-20-15-08-54-242_com.instagram.android-edit.jpg
 
Mbeumo yuko vizuri. Too bad sijawahi kumuangalia Williams game nzima huyu sina cha kusema. Ila nasikia ni kama Martinelli aliyechangamka.

Kuna mshkaji anaitwa Kolo Muani, he started better ila baada ya mechi ya world cup alivyokosa goli akawa hayupo sawa pia Juve wameamua wamuweke benchi na wamchezeshe Dusan zaidi ili bei ya Dusan ipande wamuuze.

Kama kuna namna ya kumrudishia kujiamini Kolo Muani siyo mbaya plus tutampata cheap
Kolo Muani ni mzuri. Ana nguvu na kasi na akili. Kama tutaweza kumsaidia arudishe confidence, kweli atatufaa. Nico Williams kwa kidogo nilivyomuaona nafikiri kwenye attack na take-ons yuko vizuri zaidi ya Martinelli ila kwa defensive contributions na general work rate, sidhani kama anamfikia. Ndiyo maana ningependa tuwe nao wote wawili wapeane changamoto viwango vyao wote vipande.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom