Mtoto mzuri ila golini nahisi atakuwa anatuangusha.Zinsberger hapana
Churaaaaaaaa📢📢📢📢📢📢📢Hivi mnaamini Arsenal mtabeba ubingwa?! embu acheni masihara tangu lini mkawa serious kubeba ubingwa!!
Mara hii mmeshasahau nyie mmelaaniwa!!
Mkibeba ubingwa niitwe Chura nimekaa palee.
Apunguze mshaharaKingsley Coman kwa £30m na mshahara wake ni £280k per week. Je atatufaa?
Aende zake uarabuni kumalizia ballKingsley Coman kwa £30m na mshahara wake ni £280k per week. Je atatufaa?
Kwamba dogo huenda anazaidi ya miaka 18 au?
Mechi tarehe 29 unapumzisha watu leo?Naona psg leo enrique amepumzisha wachezaji wengi wa first eleven kwa ajili ya maandalizi na game yetu dhidi yao.Arteta anapaswa kuchukua tahadhari kesho key players awapumzishe.
Utamchukia tu.Kingsley Coman kwa £30m na mshahara wake ni £280k per week. Je atatufaa?
Hata mimi nafikiri tusijisumbue nae. Bora Nico Williams mwenye release clause ya £50m hivi na anaweza kutaka wages chini ya 120,000 kwa wiki. Williams na Gyokeres ama Ekitike nadhani forward line itaimarika. Labda na Mbeumo wa Brentford, siyo mrefu na haonekani kama mchezaji ila ana nguvu na mbio na hachagui mguu wa kushoot.Utamchukia tu.
Ana pace, skills na flair ila siyo ball striker mzuri na hakusaidii kukaba.
Kubwa zaidi jamaa ni injury prone.
Mbeumo yuko vizuri. Too bad sijawahi kumuangalia Williams game nzima huyu sina cha kusema. Ila nasikia ni kama Martinelli aliyechangamka.Hata mimi nafikiri tusijisumbue nae. Bora Nico Williams mwenye release clause ya £50m hivi na anaweza kutaka wages chini ya 120,000 kwa wiki. Williams na Gyokeres ama Ekitike nadhani forward line itaimarika. Labda na Mbeumo wa Brentford, siyo mrefu na haonekani kama mchezaji ila ana nguvu na mbio na hachagui mguu wa kushoot.
Hahaha, una mmind sana? Ngoja nikwambie mtoto mzuri alipo, kuna namba 2 wa Manchester United anaitwa Gabrielle George, ana undugu na Lingard. That girl is cool.Mtoto mzuri ila golini nahisi atakuwa anatuangusha.
Unamjua Alisha Lehman?Hahaha, una mmind sana? Ngoja nikwambie mtoto mzuri alipo, kuna namba 2 wa Manchester United anaitwa Gabrielle George, ana undugu na Lingard. That girl is cool.
Lewandowski anaweza akakosa legs zote na Inter ana hamstring strain.By default Inter atacheza low block na kurely kwenye counter. Naassume Barcelona watarely kwenye hizi cross na wings ili kuisasambua hii defense.
Sisi pia tulijaribu hivyo dhidi ya Inter na tukatoka kapa. Tukatoka na possession ya 63% total shots 20, on target 4, off target 6 na shots 10 zote basi Lao lilihakikisha haupiti mpira wowote.
Tukawa na big chances 3 na zote tukamiss. With Barcelona hizi big chances 3 inawezekana 2 au moja ikamkuta Lewandowski, so obviously Barcelona ana chance ya kupita simply kwakua ana striker, na ni bonge la striker mshkaji.
Ni ngumu kwa msimu huu sisi kucheza na low block teams simply kwakua hatuna ST. Naona Barcelona akipita kwenye hii tie.
Arsenal mkikaza PSG mnawatoa.Pia naona Arsenal tuna faida moja kwamba wachezaji wetu hawagewi presha, utagundua presha wanagewa timu pinzani zaidi kwa kuwaaminisha wanatakiwa kuitoa Arsenal.
MFano wakisema tunahitaji goli dk 15 za mwanzo kisha dakika ya 52 hata on target hakuna hii inazidi kuwapa presha. PSG hawajaufuata huu mtego pengine kwakua tushacheza nao na wameona ugumu.
Kuna mtangazaji alikua anasema "Watu wanaichukulia poa Arsenal kiasi kwamba hawaipi credit wanayostahili. Hivyo akishinda hawaoni strength ya Arsenal badala yake wanatafuta weakness ya mpinzani. Bila kujua hiyo weakness imekua exposed na strength ya Arsenal"