King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,093
- 5,317
Unapata tuta kwa zali la mentali afu unapiga kibishoo.
Game inapresha hii, lkn tunawamudi hawa haihitaji panic. Hadi dakika hii Arsenal bado wamekuwa bora zaidi.Hapa ndiyo unawaza kama tulilogwa
Ikitokea penati nyingine mwambieni Arteta awape wanaume hiyo fursa asiwape wavulanaGame kama hizi ndio utasikia refa amepigwa
ASsist by you.Gooooooaol Judeeee