Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa ushindi wa jana peke yake arsenal fans wanajiona wanampiga kila mtu Europe nzima sasa wasijue hawajawahi kubeba kombe lenyewe.
 
Second leg arteta lazima alie. Kiufupi hakuna english team itakayotoboa kwenye ligi ya mabingwa.
Prophet of doom nakuona upo kazini
Basi umekaza Tu fuvu unaamini Madrid itachomoa hizo goli 3.
Endelea kuota ndoto nyevu kijana
 
Ila striker ni muhimu, tumekosa nafasi nyingi sana, mie goli za freekicks huwa siziaeki kwenye mahesabu ya kiubora wa mchezo, tunahitaji kumalizia kazi nzuri tunayoitengeneza.
Sisi hatuna juninho pernambucano
 
Arsenal, baada ya kutoscore free kicks for ages is ripping through Madrid
Unakumbuka juzi juzi tu hapa Saka aliifunga PSG kwa free kick? πŸ˜€

Hata mimi nilishasahau 😁😁. Huenda wadau pia hawaifikirii ile kwa sababu hakudhamiria kufunga.
 
Wao: Hamtoki kwa Madrid.

Madrid kafa 3.

Wao: Ila Madrid wenyewe siyo wakali.

Sisi: Sawa

Wao: Kwanza huko Bernabeu lazima wapindue meza mtaona.

Watu wamepanic. Wapo kwenye stages za 'Grief'.
Sasa mmevimba vichwaa ,mnajiona mabingwa kabisa ,kumbe nyau tu
Ninyi ubingwa wa UEFA mtausikilizia kwenye bomba tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…