Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi hatuwezi vunja bank tuchukue yule msomali wa Newcastle aisee???? Yule mwamba ni finisher mzuri mno!
 
Hua napenda jinsi mashabiki wa timu zingine wanaposhindwa kujua walalamike juu ya nini πŸ˜…

Au watoe kisingizio gani.

Madrid amekua outplayed jana. Niliwahi judge gameweek za mwanzoni ambapo Arsenal tulishindwa tengeneza big chances but kila aliyecheza siku hiyo na mechi iliyopita walitengeneza big chances.

Akiwemo Madrid. Ila jana Madrid hajafanikiwa kutengeneza big chances, Arsenal did, two of them. Missed both of them coz usually unahitaji striker na hatuna.

Na Mbappe na Haaland hawajawahi kufunga goli la free kick maisha yao yote. Arsenal haijafunga goli la free kick kwa zaidi ya miaka so jana ilikua ni funny joke unrolling to both sides
 
Una muda wa kuchezea sana we nyumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…