Si UEFA boss!Wapumzike kwa ajili gani?
😂😂😂😂😂 yaani saivi ubingwa ni kukaa juu ya forest baada ya phase zote zile , sema forest anawaza fa cup si unajua yupo semifinal pale. Hapo juu mtakaa sana forest ana mashindano mengi 😁Naona Villa wameamua kutasaidia kwa kuanza kumpiga Forest 2 za chap chap. Mambo yakibaki hivi tutaendelea kukaa juu ya Forest kwa points 5. Hawa Forest ni ndugu zetu ila kwa leo acha tu wapigwe.
Wa kulaumiwa ni SkellyWa kulaumiwa ni Trump na Musk kwa kuila kichwa USAID
Leta matokeo we KENGEIt is Trossard 0-1
Sema mkae vizuriii muongee na PGMOL mjue nini tatizo lile kwa hakika sio tuta , mafalse hopers mmezulumiwaWa kulaumiwa ni Skelly