Idea ilikua kuhakikisha tunajiweka salama game dhidi ya Madrid. Badala yake tukamess up game dhidi ya Everton baada ya hii mess up turudi mezani.
Swali sasa, "Tuna advantage yoyote kwenye game dhidi ya Madrid?"
Upande wetu wa kulia hua unachangamka akiwepo Martin, Ben na Bukayo. Ben amerudi tayari ila theoretically LW anakabwa vizuri sana na LB na RW anakabwa vizuri sana RB kwakua atatumia mguu dominant katika kumzuia kucut in na kuscore.
So inawezekana kabisa Jurrien akaanza dhidi ya Ben. Lakini Myles is young, na ana attitude ile ile aliyonayo Calafiori so he can be good lakini anaweza kua ndiye mtu atakayeset up kitanzi chenu.
In a spirit of defending ni sahihi Jurrien akarudi nafasi yake na Ben akarudi nafasi yake. Kiwior is good but he is rusty, game time imekua adui kwake ila ndiye CB wetu ambaye anapiga long balls na cross vizuri na mara kwa mara.
Mtumia akili zaidi kuliko nguvu. Remember I said he is rusty? Yeah, this means anaweza stuck anaload up cha kufanya.
Huu msimu Arsenal hajawahi kushika nafasi ya kwanza. Alishika City kisha Liver, why no one is saying city bottled the lead? Kwakua haina fanbase, city na kenge wamesuluhu why no one is surprised? Same reason. Attitude sahihi ingekua ni kila mechi kupambana kushinda, hii ya kuacha wachezaji nje ili uwatunze kwaajili ya mechi nyingine haina afya.
Tuliuanza msimu na majeruhi haitatushtua yangetokea mengine juzi dhidi ya Everton so Arteta hakua sahihi kupumzisha watu.