Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_2025-04-02-11-02-03-334_com.instagram.android-edit.jpg
 
Jana bwana timu ya daraja la 3 ya Arminia Bielefeld imeitoa Leverkusen na kuingia fainali ya DFB Pokal.

Wanasubiri mshindi kati ya Stuttgart na RB Leipzig ili wakute naye kuamua mshindi wa hili kombe.

Endapo Arminia Bielefeld wakishinda watakua wamefuzu kwenda Europa automatically. Mashabiki tunataka hili litokee 😅
 
arminia wako moto msimu huu
 
Back
Top Bottom