mkale
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 1,737
- 1,987
Kiwior ndege anayetegemewa
kiwior namuona ana cheza vizuri zaidi akiwa full back left.. akicheza kama beki wa kati ujue saa yoyte anachoma.
Kiwior ndege anayetegemewa
Nasema hivii nafasi ya pili naitaka, tukifungwa na spars niulizwe mimi.Wenzako wa nyumbu wamesusa jukwaa lao tangu juzi.
Leo usiku lile bwawa lenu kenge wote mtalisusa msikilizie matokeo kwanza.
Eh 😅Nasema hivii nafasi ya pili naitaka, tukifungwa na spars niulizwe mimi.
swalamaaaaaaWazee wa TREBO ya mshindi wa pili mmeamkaje?
Namuona Timber anaweza ziba pengo huku White akicheza namba 2.kiwior namuona ana cheza vizuri zaidi akiwa full back left.. akicheza kama beki wa kati ujue saa yoyte anachoma.
White hatakuwa ameumia kweli? Na match fitness atakuwa hana pia..Namuona Timber anaweza ziba pengo huku White akicheza namba 2.
Wapumzike kwa ajili gani?Arteta anapaswa kuchukua tahadhari kuwapumzisha key players,Saka pekee apewe dakika nyingi kucheza leo
Wapumzike kwa ajili gani?
Nafikiri he is resting our vital players kwa ajili ya game ya Madrid. Second Half lazima Rice, White & Merino wapumzike for Timber,Partey and Odegaard.White is back.
Midfield imekua sacrificed. Arteta ameamua kurely na pace ya forwards na pass vision ya Jorginho.
Our defence is not at its best. Kiwior ni weak link pressure ikimzidia.View attachment 3293993
Fawanews.comNambeni mnipe link ya thread ya Arsenal nina hamu nao sana, si unajua Jana usiku jana walifanya uchakavu wa hali ya juu pale Emirates stadium?
Ni hayo.