verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,153
- 6,258
Mzenge wewe hii ni edit 😂😂😂Tafuteni kipa wa kueleweka kenge nyie
View attachment 3294634
Mzenge wewe hii ni edit 😂😂😂Tafuteni kipa wa kueleweka kenge nyie
View attachment 3294634
Sasa wewe jichanganyemdomo unawaponza 😁 nb madrid kapewa 3 odds🔥
no risk no story 😁Sasa wewe jichanganye
Kanji sio mjomba wako
mechi nzimaArsenal kama Arsenal au mechi nzima?
10 uhakika.mechi nzima
Hivi Saka Yuko fiti kweli?
Utakua na shida mahaliKutoka ndani ya moyo wangu SIKIPENDI hiki kipuuzi LEWIS,Arteta sijui hata anakipendea Nini matako huyu licha ya kuigharimu timu karibu kila mechi