Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,243
- 76,793
Kama nilivyosema kwamba fanbase imegawanyika juu ya hii ishu. Victor 60-70M, Isak 130M.Victor is a total waste of money. Takataka nyingine
Buy Victor, unabaki na cash ya kujazia kumleta Sesko, Zubimendi na Nico Williams.
Isak price tag yake ni ndefu na unaingia kwenye kugombania saini na timu zingine.