Arsenal 3:3 soton hii ndo match niliamini kabisa arsenal hatakaa abebe EPL kwa miaka 100 ijayo [emoji38]. Ni bora man utd na chelsea wanaojitafuta huko watajipata na watabeba makombe zaidi ya mara moja huku arsenal akiwa patupu .
Kabla ya hii game arsenal alikua ametoka kusare game mbili nyuma ambazo zote alikua anaongoza 2:0 , ndo ikafika hii game sasa ramsdale kachoma nikaona mpira wavuni.
Hatujatulia kidogo akapewa mwanetu walcot daah bila hiyana akapiga kama henry vile chuma cha pili bora angeona hata huruma akapaisha [emoji23].
Zincheko nakumbuka akawaita watu wote katikati ya dimba wakazunguka mduara sijui akawaambia nini vile goli 1 likarudi si unajua harakati za false hopes zilivyo. Tukajua ushindi upo hapa kama Bournemouth vile 3:2
Mara chuma cha tatu [emoji23][emoji23][emoji23] watu hawaamini pale pale emirates.
Game inaisha 3:3 refa anapuliza kipenga naona ben white , odergard, magnales wakajitupa kama mizigo saka anachuchuma haamini , Southampton team ya mwisho ndani ya emirates match ya kuamua ubingwa lakini bado holla!!! Halafu leo kina mkorea na castr bado wanaamini watabeba ubingwa au uefa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mnabidi mjipige vifuani mara 21 mkikiri “ naam sisi ni false hopers tumekosa tusamehe eeeh BABA” maana hii imani mngeipeleka kwenye dini saivi mngekua mmetwaliwa kama nabii eliya na si kufa[emoji38]