HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,643
- 7,073
Halafu pia angalia timu ya wanawake ya Newcastle iko daraja la ngapi, na nafasi ya ngapi katika daraja hilo...Castr point yangu si nyinyi kucheza uefa ila ni uhakika kuwa mmeamua kukimbilia kwenye league ya mademu kujiliwaza ambapo mpaka huko nako mwaka huu mnatoka empty si league wla uefa women champions league