Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawana arsenal w, watawatoa roho wenzao Liverpool, linapigwa boli burudani sana hapa
 
Kumbe jana kuna mechi zilikua zinachezwa na nyinyi mmecheza. Naingia fotmob nakuta matokeo na penati za kujaza kiroba
Watu wa aseno' wakisikia hili neno AYDEN HEAVEN wanakaribia kufa kwa wivu
1000562267.jpg
 
Yaani sisi tunafurahia carabao hapo ila wao wameshikilia saa ya highbury meno yote nje
kuna makombe hata tukichukua hayanogi, hivi carabao cup ni kombe la Arsenal kujisifia kweli? mimi binafsi FA cup na carabao hayawezi kuniamsha, kombe ambalo hata Newcastle asiyeweza kumaliza ndani ya top four EPL anachukua la nini sasa!
 
Hivi liverpool nao wanaumia kufungwa fainali ya carabao? Mickey mouse cup, vikombe vidogo kwa timu ndogo, watu wanataka kumsajili Isak kwa ajili ya Epl na Uefa sio kwa ajili ya carabao.
 
England kuna 3 domestic cup : EPL, FA na carabao cup. Team yoyote ya england lazima iwe ina hamu na makombe hayo 3, ukikosa epl basi chukua FA na ukiikosa basi chukua carabao cup.
Sasa asenali kati ya hayo yote imetoka patupu tangia 2021 mpaka leo hii kombe pekee waliloshangilia ni ile saa ya highbury .
 
Hivi liverpool nao wanaumia kufungwa fainali ya carabao? Mickey mouse cup, vikombe vidogo kwa timu ndogo, watu wanataka kumsajili Isak kwa ajili ya Epl na Uefa sio kwa ajili ya carabao.
Kama kombe dogo toka uanze kushabikia arsenal hujawahi kuona imechukua licha tu ya kuwahi kuona imeshiriki final ya carabao cup lakini bado mkatoka empty hands.
 
Hii siyo.

Hii itakua ni underdog story nzuri ya jinsi mlikua mnashuka daraja, kila mtu akaona haiwezekani kisha mkafika CL kwa mlango wa nyuma.

All the while mkiwa mmesajili youngsters ambao Arsenal iliona muda wao bado ila nyinyi mkawaamini.

Hii haitokua bangi. Itakua a pretty good underdog story.
 
Toa neno UEFA hapo tafadhali kaka , kuwa na heshima na UEFA hio false hope sijui ya uefa cup winners hii hatuitambui kabisa na sisi mimi tu hata hao UEFA hawaitambui.
Ndio maana kwenye list ya uefa champion winner arsenal haipo ila wanangu wa unai emery Aston villa wapo .
Bila kusahau Nottingham forest
 
England kuna 3 domestic cup : EPL, FA na carabao cup. Team yoyote ya england lazima iwe ina hamu na makombe hayo 3, ukikosa epl basi chukua FA na ukiikosa basi chukua carabao cup.
Sasa asenali kati ya hayo yote imetoka patupu tangia 2021 mpaka leo hii kombe pekee waliloshangilia ni ile saa ya highbury .
Daah. Mimi kombe moja tangu 2021 na wewe kombe moja tangu 1955...tunafanana kweli? Au basi tusaidie kutuambia ndani ya miaka 10 (tangu 2014) tu hapo, nyie na sisi tunavikombe vingapi hivyo domestic? Usihesabu Community Shields.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom