Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,316
- 3,947
Acha tuwapige spana hawa ma false hopers, 2023 walivyokosa wakasema ni pressure ya wachezaji kutokua na uzoefu wa kupambania ubingwa, 2024 wakasema tatizo ni pep 😂😂 akiondoka tu watatawala sana epl kwa zaidi ya miaka 10.We jamaa una spana za moto.
2025 hii hapa pep yupo hoi hawana cha kutuambia zaidi ya next season .
NEXT SEASON FC