Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,233
- 76,758
Wote wamechanganyikiwa.Yaani mfumo huu Arteta amekuwa nao miaka saba? Yaani kile alichokikuta Arteta na alichokijenga ndani ya hiyo miaka saba ni hicho hicho? Kwamba hatuwezi kusema 'miaka 3 mfumo fulani, miaka 4 mfumo mwingine'? Maana kwa mimi naweza kusema timu ya kiushindani ameipata miaka hii mi3, mi4 hivi ambapo ndipo alipokuwa angalau na wachezaji wake na mfumo unaomfaa...
Arteta kacheza back 3 wakati defense yetu shit.
Kacheza 4 2 3 1.
Kaja na 4 3 3 ambayo wachezaji wengi hawakuepo.