Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Real Madrid vs Arsensl not televised live? Natafuta hapa naona kapa
Uliambiwa wanacheza leo bro?Real Madrid vs Arsensl not televised live? Natafuta hapa naona kapa
Wanawake wetu wanacheza UCL robo fainali na wanawake wa Madrid.Uliambiwa wanacheza leo bro?
Wanawake wetu wanacheza UCL robo fainali na wanawake wa Madrid.
Wakija pale Emirates wanapigwa 4 au zaidi waleWamekufA chuma 2
Walicheza jana, niliangalia mechi yote tulifungwa 2-0Uliambiwa wanacheza leo bro?
Uwanja ulikuwa topeWakija pale Emirates wanapigwa 4 au zaidi wale
Sio kwamba nyie ndio mmechanganyikiwa, miaka saba yote juzi mmestrugle kumfunga chelsea ambayo iko hoi inayotafuta kujipata, ndio mnategemea mkamfunge madrid!!.
Sio kwamba nyie ndio mmechanganyikiwa, miaka saba yote juzi mmestrugle kumfunga chelsea ambayo iko hoi inayotafuta kujipata, ndio mnategemea mkamfunge madrid!!.
Mafanikio yenu UEFA msimu huu ni kumfunga PSG hakuna jingine.
arsenal2004
Hawakwepo lakini mfumo ulikwepo.Hiyo picha hapo inaonyesha kwamba miaka saba iliyopita, hao watu hawakuwa Arsenal. Maanake ni kwamba si kweli kuwa hao wachezaji wamekuwa pamoja kwa miaka saba.
Sasa namimi sijawaelewa wanaomshangaa caicedo.Hawakwepo lakini mfumo ulikwepo.
Kwani Arteta si ameanza kufundisha Arsenal 2019 mjomba?? Mpk leo si ni miaka7! Hivyo miaka inahesabika tokea Tetea amekua incharge. Ina maana wachezaji wakija wanakuta mfumo.
Sasa nyie mlivyokua wa hovyo mnahesabu kila mchezaji kivyake, wakati wanatumia mfumo uliotengenezwa kw miaka saba.
Wewe sasa hata akili ya utambuzi ni changamoto.Sio kwamba nyie ndio mmechanganyikiwa, miaka saba yote juzi mmestrugle kumfunga chelsea ambayo iko hoi inayotafuta kujipata, ndio mnategemea mkamfunge madrid!!.
Mafanikio yenu UEFA msimu huu ni kumfunga PSG hakuna jingine.
arsenal2004
Mfumo?Hawakwepo lakini mfumo ulikwepo.
Kwani Arteta si ameanza kufundisha Arsenal 2019 mjomba?? Mpk leo si ni miaka7! Hivyo miaka inahesabika tokea Tetea amekua incharge. Ina maana wachezaji wakija wanakuta mfumo.
Sasa nyie mlivyokua wa hovyo mnahesabu kila mchezaji kivyake, wakati wanatumia mfumo uliotengenezwa kw miaka saba.
Grealish kasajiliwa flop.Sasa namimi sijawaelewa wanaomshangaa caicedo.
Ile "They" basi imewachanganya wanafikiri wanaongelewa kina kai na odegaard 😂😂
Nimeielewa point yako.Grealish kasajiliwa flop.
Kaja Doku flop.
Kaja Savinho flop.
Kaja Marmoush. Anaonekana ameclick.
Hao watatu wa juu hawajakuta mfumo kwenye timu yenu? Ni tangu lini 'they' inamaanisha mfumo?
Yaani mfumo huu Arteta amekuwa nao miaka saba? Yaani kile alichokikuta Arteta na alichokijenga ndani ya hiyo miaka saba ni hicho hicho? Kwamba hatuwezi kusema 'miaka 3 mfumo fulani, miaka 4 mfumo mwingine'? Maana kwa mimi naweza kusema timu ya kiushindani ameipata miaka hii mi3, mi4 hivi ambapo ndipo alipokuwa angalau na wachezaji wake na mfumo unaomfaa...Hawakwepo lakini mfumo ulikwepo.