Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,074
Sio rahisi, ingawa idadi ya mechi inakupa matumaini ya miujiza. Hizi point 5 tulizopoteza zimetuondosha kwenye ubingwa.Mechi 10 ni nyingi ujue, chochote kinaweza kutokea
Sio rahisi, ingawa idadi ya mechi inakupa matumaini ya miujiza. Hizi point 5 tulizopoteza zimetuondosha kwenye ubingwa.Mechi 10 ni nyingi ujue, chochote kinaweza kutokea
Yani nyumbu nawewe unataka utoe kauli? 😂😂😂Sijui niwasemeshe au niwaache!
Okay, lawama msimu huu tunazipeleka kwa nani kati ya wachezaji, arteta au utawala?
Epl bila united icone hakuna radhaYani nyumbu nawewe unataka utoe kauli? 😂😂😂
Pambaneni kwanza msishuke daraja
Yani nyumbu nawewe unataka utoe kauli?
Pambaneni kwanza msishuke daraja
Unategemea Liverpool adondoshe points wakat we wewe unaendelea kuzidondosha..Ni nyingi ndio lakini kutegemea liverpool adondoshe points ni uongo, na wakati anadondosha points swali ni kwamba sisi arsenal tunaweza kushinda gemu zote?
Nyie mbuzi bado mnautaka ubingwa?


"Ligi bado mbichi kabisa hii, Kwa akili yako ulijua atachelewa kupata timu nzuri. Unaweza ukawa kocha mzuri na usifanikiwe timu hii, ukafanikiwa timu nyingine. I thought you are old enough to realize that.arteta hatochelewa kupata club nzuri, ila club ya arsenal itakaa 5 more years kupata tactician kama arteta. So the ground's yours arsenyani. #YNWA
Kwa mfano hadi sasa arsenal mnatuzidi kitu gani labda?Yani nyumbu nawewe unataka utoe kauli? 😂😂😂
Pambaneni kwanza msishuke daraja
Oya hii ni meme au serious mkuu?🗣️Mikel Arteta on draw against Nottingham Forest:
“Liverpool had one loss and a draw to Forest, I think for us to come away from this fixture and take 4 points total, shows who’s the better team 😁🤣
View attachment 3252248
Mechi 10 ni nyingi endapo Liverpool angekuwa yupo kwenye race ya ubingwa na team kama chelsea , man city, man utd or even Leicester city 🤣🤣🤣🤣 na sio yupo na arsenal.Mechi 10 ni nyingi ujue, chochote kinaweza kutokea
Tuna test mitambo ya kufukua makaburi mdogo mdogo.Liva aweza shinda ligi