HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Partey pia ni moto wa mkaa. Huwa anachukua muda kukaa kwenye rhythm na akikaa anawaka muda mrefu. Ila pia ni mwepesi wa kupata injuries za kumkalisha nje muda mrefu. Atakupa mechi 2-3 mbovu ila baada ya haop atakupa hata 10 kali, kama akiweza kukaa fit. Kwa hilo muweke kundi moja na kina Jesus.Unajua kwamba Arsenal tunastruggle hivi kwakua wameumia wachezaji wangapi? 5.
Katika hao 5 regular starters ni 3. Saka, Martinelli na Kai. Wawili waliobaki inategemea kocha kaamkaje, Jesus na Takehiro.
Kimahesabu unahitaji wachezaji 7 tu wa ndani ya uwanja wanaojua wanataka nini ili kushinda mechi.
This means either we are too dependent on pattern or we have to add 3 world class players