Sasa anapata faida gani huyu jamaaAnakua na account mbili alafu anakua msahaulifu
Sasa anapata faida gani huyu jamaaAnakua na account mbili alafu anakua msahaulifu
Flano unajisahau sana


Ombeni sana leo mshinde ndio itakua salama yenu, vinginevyo tutawajazia nzi humu. Anachotufanyia Bisaka leo basi tu, ile move ya goli niliona kabisa hapa tunaenda kulala…
Mkuu game bado sana hii, Fanya kutuombea dua njema Mtoto mzuri Nifah ale wkend fresh
Nakumbuka mechi iliyopita dhidi ya Leicester ulipanic hadi kipindi cha pili hadi ukanywa maji.Anachotufanyia Bisaka leo basi tu, ile move ya goli niliona kabisa hapa tunaenda kulala…
Hebu ngoja tuone SH itakuwaje.
Pamoja mkuu 😆😆. For our Nifah I will pray hard Arsenal to win 2-1Mkuu game bado sana hii, Fanya kutuombea dua njema Mtoto mzuri Nifah ale wkend fresh
Ile tulipelekewa moto kinoma bora hii, hii tukitulia tunatoboa.Nakumbuka mechi iliyopita dhidi ya Leicester ulipanic hadi kipindi cha pili hadi ukanywa maji.