999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 914
- 1,691
Kwenye game ya Liver na Wolves, jinsi Liver wanavyocheza hata kama wameshinda, utagundua Liver upepo umeanza kukata.
Game yao na Aston villa nikajua hawa wakijitahidi sana sare. Na kwa jinsi Man city anavyocheza sasa hivi hasa nilivyoona ile game yao na Newcastle, hapa Liver lazima afe.
Nilikuwa nimekata tamaa ya ubingwa, kumbe mbio bado kabisa, kimasihara masihara Arsenal anachukua kombe.