Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,392
Miti yote inateleza
Kwani mlikua mna uhakika mtakua mnashinda kila mechi?Anachotufanyia Bisaka leo basi tu, ile move ya goli niliona kabisa hapa tunaenda kulala…
Hebu ngoja tuone SH itakuwaje.
Kwani kuimba si kupokezana Mkuu? Tulia basi.Kwani mlikua mna uhakika mtakua mnashinda kila mechi?
Liverpool tunachekelea hapa 😝😝
Juzi tulipata sare mkawa mnatuita liverkuku 😀
Kalale tu Na KENGE wenzako.Sijui nikalale tu? Mbona maji yanataka kuzidi unga?
Hakunaga hio,kuna mazingira hakuna kupokezanaKwani kuimba si kupokezana Mkuu? Tulia basi.
Sawa arsenal2004Ombeni sana leo mshinde ndio itakua salama yenu, vinginevyo tutawajazia nzi humu.
Arsenyau attempts 30 goli 0
Westham attempts 2 goli 1
Kenge ni wewe mshamba hadi leo hujui ku highlight unachora kama bata.Kalale tu Na KENGE wenzako.
Nimependa huu msemo wa commentator
"Arsenal, a goal down and a man down..."View attachment 3245583