Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Mnamchukua Sterling kwa mkopo, halafu mnamtoa Leece Nelson kwa mkopo!!!!!!!
Unatumia vigezo gani kusema Rice hajaweza kucover DM?
Tatizo mnataka Rice acheze kama anavyocheza Partey.
Xaka naye alikuwa anatuoffer nini ambacho unaona hakuna mchezaji (Rice) anayeweza kufanya?
Hivi kuna mchezaji anayetupa energy kumzidi Rice Arsenal?
Weakness pekee ya kuboresha kwa Rice ni kwenye build up labda na vertical passes basi na sio kwamba yupo vibaya kihivyo.
Inavyosemekana. Rice ana offer vitu vingi Akicheza namba 8 kuliko akicheza 6Unauliza natumia vigezo gani kusema Rice kapwaya DM ikiwa hadi leo hajachezeshwa tena DM na nafasi anaicheza Partey au Jorginho?
Kama hujui alichokua anaoffer Xhaka na mpaka wanasajiliwa wachezaji wawili kuja kuziba hilo pengo mimi sina cha kusema.
Sina uhakika kama Rice ana hiyo trait, najua alikua nayo Saka. Ni vizuri kama Rice ndiye energizer wetu.
Sasa kama hana build up nzuri na pasi hayupo vizuri unamuwekaje DM? Naona umezunguka na kurudi pale pale.
Ili Rice awe lit kwenye namba 8 timu yetu inatakiwa icheze mchaka mchaka. Naamini hata ubora wake akiwa namba 8 tuliuona kipindi ambacho tulikua tunacheza kwa speed tofauti na siku hizi.Inavyosemekana. Rice ana offer vitu vingi Akicheza namba 8 kuliko akicheza 6
Na ndo linapopatikana wazo la Zubimendi kucheza role ya Partey. Merino Ni m badala wa Rice . LCMIli Rice awe lit kwenye namba 8 timu yetu inatakiwa icheze mchaka mchaka. Naamini hata ubora wake akiwa namba 8 tuliuona kipindi ambacho tulikua tunacheza kwa speed tofauti na siku hizi.
Utamwekaje Rice DM wakati hakuna LCM wa uhakika na unajua Rice anaweza kucheza vizuri kuliko mchezaji yeyote hiyo sehemu na wakati huohuo una wachezaji ni DM wazuri (Partey/ Jorginho), na hao wachezaji ni wazuri sana wakiwa kwenye hiyo position pekee??Unauliza natumia vigezo gani kusema Rice kapwaya DM ikiwa hadi leo hajachezeshwa tena DM na nafasi anaicheza Partey au Jorginho?
Kama hujui alichokua anaoffer Xhaka na mpaka wanasajiliwa wachezaji wawili kuja kuziba hilo pengo mimi sina cha kusema.
Sina uhakika kama Rice ana hiyo trait, najua alikua nayo Saka. Ni vizuri kama Rice ndiye energizer wetu.
Sasa kama hana build up nzuri na pasi hayupo vizuri unamuwekaje DM? Naona umezunguka na kurudi pale pale.
Hiyo position pekee? Partey au mwingine?Utamwekaje Rice DM wakati hakuna LCM wa uhakika na unajua Rice anaweza kucheza vizuri kuliko mchezaji yeyote hiyo sehemu na wakati huohuo una wachezaji ni DM wazuri (Partey/ Jorginho), na hao wachezaji ni wazuri sana wakiwa kwenye hiyo position pekee??
Hapo kwenye lack of fluidity and stale toward opponent goal tukiwa tunafanya buildup ndipo tunapowezwa na timu ambazo Zina makocha werevu.Kuna mtu kauliza online ikiwa Newcastle hua wanakamia mechi na Arsenal pekee.
Kuna mmoja akajibu inaonekana hivyo kwakua hata formation akicheza na Arsenal inakua tofauti mfano dhidi ya sisi ni back 5 ila dhidi ya timu nyingine ni back 4.
Kuna mmoja akajibu shida siyo ukamiaji isipokua attack yetu haiko fluid, ipo slow na stale kiasi kwamba tunawapa muda wa ku-regroup tofauti na wakicheza na timu zingine.
Mfano City, attack yao iko fast na pia hawasubiriani hadi wafike wote.
Jana goli la pili la Merino ni mfano wa timu ambayo haisubiriani, isipokua hatuna consistency kwenye attacks za hivyo ndiyo sababu timu yoyote ikipaki asi inatusumbua
Yule dogo Tel...aisee, bora hata akina Sterling na HavertzHawa Spurs kwanini hawakubali kua na wao hawana ST kama sisi tu? Na ndiyo wamemtoa Bayern mtu mjinga kabisa
Christiano Ronaldo's free kick against arsenal has been voted as the greatest free kick in football history.Small victories hizi ambazo hata hazimake sense.
Aaahh we itakua humjui Antony na free kicks zake au David BeckhamChristiano Ronaldo's free kick against arsenal has been voted as the greatest free kick in football history.